Baada ya Alshababu kusambaratishwa vibaya na KDF Serikali ya Somalia yaanzisha kikundi kipya cha Ugaidi dhidi ya Kenya

Baada ya Alshababu kusambaratishwa vibaya na KDF Serikali ya Somalia yaanzisha kikundi kipya cha Ugaidi dhidi ya Kenya

1472018125923147b69ce308a4607b2da36aabc1fe5ec_.jpg

Vikosi vya Magaidi vikiwa vinajiandaa kuua Raia wa Kenya na kutangaza jihadi dhidi ya Raia wema wa Jamhuri ya Kenya na Afrika ya mashariki kwa ujumla.
 
Hamna tishio lolote dhidi ya Kenya kutoka Ugandishu(vikosi vya Uganda ndio vinatawala Mogadishu). Kenya ilishajipanga zamani baada ya kuigawanya Somalia na kuanzisha jamhuri mpya ya Jubaland na kumueka kibaraka rais Ahmed Madobe madarakani. Jubaland ndio eneo la Somalia ambalo kwa sasa linapakana na Kenya, kutoka Ras Kamboni kuenda Kismaayo hadi Luuq kule Gedo.

Alafu, kumbuka upande wa kaskazini kuna Puntland na Somaliland, Tayari Kenya ishatangaza rasmi kwamba inaunga mkono, eneo la Somalliland kua taifa la kivyake kando na taifa la Somalia https://www.nation.co.ke/news/afric...economic-ties/1066-5134778-ltp6lcz/index.html
Huyo Rais wa Jubaland tulimuachia mpaka magari ya KDF wakati alikua kiongozi wa wanamgambo wa Raas kamboni brigade

juba.jpg



Tukampeleka hadi Kismayu na tukamlinda wakati wa uchaguzi wake

b.jpg




Sahii yeye ndo Rais wa eneo la Jubaland ambalo linapakana na border yote ya Kenya

wafdi-ahmed.jpg



Tena ako na jeshi lake na polisi wake kama vile Rais wa nchi

madobe-jubbaland-768x405.jpg

afff.jpg


Roundi hii Somalia ikileta ujinga wa aina yoyote dhidi ya Kenya, Itabidi wapambane na Jubaland (Proxy war) kabla wafikie Kenya.
200E9230-3FBD-4F85-810A-BBD123779B1D.png



Tena ukiangalia hio map utagundua Jubaland ndo inapakana na Kenya hadi upande wa Lamu ambapo Somalia inadai bahari ya upande wa lamu ni yao..... Kenya na Somalia zikikosa kuelewana kuna uwezekano ukaanza kuona Kenya ikianzisha upya 'Operation Jubaland' ya kuitaka Jubaland iwe taifa la kivyake ambalo ni rafiki wa Kenya, kwahivyo Somali wajichunge, wasifikiri hatuna choices.... Kama vile Sudan ilikua inataka eneo lote la ilemi triangle,Baada ya Kenya ku support South Sudan kua taifa haujawai sikia South Sudan ikidai hilo eneo tena, infact, last week rais wa South Sudan alikua Kenya na walielewana na Kenya kwamba watafanya ukaguzi rasmi wa hilo eneo, Na kuna uwezekano Kennya na South Sudan wakagawanya hilo eneo nusu kwa nusu au walifanye DMZ kama vile North/South Korea ambapo watajenga wivanda na warehouses za biashara alafu raia wa hizo nchi mbili wataruhusiwa kufanya kazi hapo ndani na hio ardhi itakua ni ya nchi zote mbili.
 
Jubalanda
Jubaland si imejitenga na Somalia lakini ?
haijajitenga na wala haina mpango wa kujitenga.
Somalia ni nchi mbili tu Somaliland na Somali ambazo ziljiunga Baada ya uhuru na Sasa zimetengana tena baada ya Majunta wa Somalia kusini kuanzisha Ethnic cleansing thidi ya Watu wa Somaliland

Wasomali wa somalia ni watu wakorofi sana halafu wana Alergy na Amani.
 
Jubalanda

haijajitenga na wala haina mpango wa kujitenga.
Somalia ni nchi mbili tu Somaliland na Somali ambazo ziljiunga Baada ya uhuru na Sasa zimetengana tena baada ya Majunta wa Somalia kusini kuanzisha Ethnic cleansing thidi ya Watu wa Somaliland

Wasomali wa somalia ni watu wakorofi sana halafu wana Alergy na Amani.
Kwaiyo juba ipo chini ya KDF kimamlaka ?
 
Jubalanda

haijajitenga na wala haina mpango wa kujitenga.
Somalia ni nchi mbili tu Somaliland na Somali ambazo ziljiunga Baada ya uhuru na Sasa zimetengana tena baada ya Majunta wa Somalia kusini kuanzisha Ethnic cleansing thidi ya Watu wa Somaliland

Wasomali wa somalia ni watu wakorofi sana halafu wana Alergy na Amani.
Somalia ni Federal system..... Lakini ni serekali kuu ndo inafaa kuchagua gavana/rais wa jimbo... Tofauti na kilichofanyika hapo Jubaland ambapo kiongozi wa Jubaland alichaguliwa na bunge la jubaland ambapo wengi wa hao wabunge wa Jubaland walikua wanaishi Nairobi kabla kuhamia Kismayu baada ya KDF kuukomboa huo mji....

Soma hii taarifa utaelewa kwanini serekali kuu ya Somalia haisikizani na serekali ya Jubaland hata kama hawana mpango wakujitenga bado wako na mpango wa kuwa autonomous region ambapo wao ndo wanajilinda, wanaokota kodi ...n.k

--------------------------------------------

When did the Jubaland initiative start?

The idea started to gain currency in 2009 as part of a desire among local clan, business and political elites – with support from parts of the Kenyan state, including politicians of Somali descent – to oust Al-Shabaab. It was a good fit with the U.S. government’s “dual track” policy – conceived to support local security and stabilisation in the absence of a strong central state. However, the U.S. and other Western powers were cautious about this particular project. The Transitional Federal Government (replaced by the Somalia Federal Government in August 2012) was lukewarm at best, and Ethiopia was circumspect.

Nevertheless, clan elders from the region met in Kenya from March to April 2011 – the regions in question were still controlled by Al-Shabaab to create what was initially called Azania – swearing in ex-TFG minister Mohamed Abdi “Gandhi” as interim president. Ethiopia and Marehan politicians from Gedo opposed what they perceived as an Ogaden-clan-dominated, Kenya-initiated project.

Following the Kenyan military intervention in October 2011 , further Nairobi-based talks began in May 2012 to broker agreement between the Ogaden, Marehan and Harti as well as many smaller clans. A 32-member technical committee was charged with establishing a Jubaland administration.
But the perception of clan dominance was hard to shift since the main signatories at the Jubaland conference – with the exception of one Galja’al – were all from Darod clans.

How does Jubaland fit with the current Somalia Federal Government?

After Kismayo’s September 2012 capture by Kenyan Defense Forces troops (by that time under AMISOM command) and allied Somali groups – especially Ahmed Madobe’s Ras Kamboni militia – the SFG and the local interim administration disagreed over who should lead the formation of a new regional federal state. Talks reconvened in Kismayo in late February 2013 paid for by Jubaland supporters. (Biggest Jubaland supporter is Kenya)

The SFG opposed the talks and Prime Minister Abdi Farah Shirdon declared them unconstitutional. He said they should follow the precedent of SFG-appointed interim administrations elsewhere in the south. However, the local leadership – with support from disgruntled SFG parliamentarians, Puntland (the Harti-Darod homeland) and the regional body, IGAD (Inter-Governmental Authority on Development) – argued that they should establish a regional state as per the provisional federal constitution. There is enough ambiguity within the federal constitution for both the SFG and Jubaland to have a case, but each accuses the other of inflexibility.

What are the local and regional interests at play?
Jubaland is a potentially rich region, with good seasonal rainfall, year-round rivers, forests, and lush farm- and range-lands, as well as potential off-shore oil and gas deposits. The harvesting and export of charcoal has become a particularly lucrative industry, a trade currently banned by UNSC resolution 2036 (2012) which nonetheless is flourishing with the cooperation of AMISOM-allied militias. The domestic stakes of the Jubaland process are high, as clan factions fight over the division of resources.

Ethiopia and Kenya have used the regional organisation IGAD as a forum to support a Jubaland regional state through a “Grand Stabilisation Plan”. An IGAD “confidence-building mission” is currently visiting Jubaland. Kenya’s interest is strategic and economic: a semi-autonomous Jubaland as a buffer-zone from Al-Shabaab attacks on both its tourism industry and a massive Lamu port development project; secure access to the Kismayo market; and influence over oil and gas deposits in a contested maritime zone. Stability could also facilitate plans to repatriate 500,000 Somali refugees now living in Kenya. Ethiopia’s interest is primarily that an Ogadeni-dominated Jubaland could complicate its struggle against the Ogaden National Liberation Front (ONLF) in Ethiopia’s Somali-inhabited south-east. But Ethiopia also has economic interests, including the possibility of alternative access to the sea.



Presidential palace ya Jubaland hapo Kismayu ni kubwa kuliko presidential palace ya Rais wa Somalia kule Mogadishu, Hivi unafikiri huyo Madobe anakaa ni kama mtu ako tayari kumpatia kiongozi wa Somalia madaraka yote kama amejenga jumba kubwa hivyo?
18893145_1368370819914059_6457809094428686329_n-jpg.20385
 
Mnalea nyoka mwingine tu kama Farmajo. You never learn, vita ya Usa na magaidi hufai kuingilia utaumia wewe
Leaked documents sent to CIA from Djibouti embassy were deliberately leaked to Wikileaks.. Zinaonysha vizuri kwamba USA ilikataa mpango wa Kenya wa ku form Jubaland administration kama buffer zone ya Kenya. Infact, inaonyesha vile marekani ilipinga mpango wa Kenya kutuma wanajeshi somalia ilihali tunapakana tena tuko na refugees wa kisomali... USA ilikua inataka nchi ambazo hazipakani na Somalia ndo zitume majeshi huko.

Canonical ID:
09DJIBOUTI1389_a
Original Classification:
CONFIDENTIAL
Current Classification:
CONFIDENTIAL


Summary: During a December 8 meeting on the margins of the Djibouti IGAD ministerial visiting AF Deputy Assistant Secretary Wycoff and Kenyan Minister of Foreign Affairs Wetangula agreed to continue to work together to promote stability and political reconciliation in Somalia. DAS Wycoff told Wetangula that the USG continued to strongly oppose the Kenyan "Jubaland" initiative as a bad idea that would more likely add to Somalia's instability than to help stabilize the country. Wetangula defended GOK plans to pursue its Jubaland (southern Somalia) initiative, implied that it was in evolving concept, and offered to facilitate better USG understanding of Kenya's plans.

--------
At the same time Kenya pia ilikua ina support TFG kuanzisha serekali mogadishu
-----------
Wetangula alleged that only a tiny fraction of the Brussels pledges to the TFG had been realized. The GOK had given the TFG money from time-to-time, but it "was not rich." Only the West could provide the support needed by the Somali government. He urged that the USG take the lead in galvanizing the international community. Wycoff recounted USG efforts both to provide direct support to the TFG, but also to encourage its friends and allies to provide material and budget support. HE also highlighted USG efforts to promote political reconciliation and negotiations in support of the DPP. Wycoff also pointed out that the U.S. was the primary provider of support to AMISOM.

----

Source: https://wikileaks.org/plusd/cables/09DJIBOUTI1391_a.html
 
Tayari Kenya ishatangaza rasmi kwamba inaunga mkono, eneo la Somalliland kua taifa la kivyake kando na taifa la Somalia
Guinea imekuwa nchi ya kwanza kuitambua Somaliland huu ni msaada mkubwa wa Kenya
Next ni Kenya yenyewe Ethiopia nayo imefungua Ubalozi na jamhuri hiyo yenye Amani na utulivu.
 
Mogadishu imefanywa na Waarabu kuwa Platform ya kutawanya jihadis kwenda kuchinja raia katika nchi mbalimbali za Kiafrika.
 
Huwezi ukawalazimisha Waafrika waijiunge na dini ya Kiislamu kwa kutumia Mabomu na risasi
 
Back
Top Bottom