Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Mabomu kila siku sasa hadi muelewe vita za mabeberu dhidi ya wasomali hamfai kuingilia mkitafuta upendo wa mabeberu.
Tutaendelea tu kuwazika KDF,watoto wao wawachwe yatima na wake wao wawe wajane.. wala hamna mwisho wa vita na mnao pigana nao hawana gharama ya maisha yao