Baada ya Alshababu kusambaratishwa vibaya na KDF Serikali ya Somalia yaanzisha kikundi kipya cha Ugaidi dhidi ya Kenya

Baada ya Alshababu kusambaratishwa vibaya na KDF Serikali ya Somalia yaanzisha kikundi kipya cha Ugaidi dhidi ya Kenya

Acha tu uhuru kenyatta apambane na hali yake sisi siku hizi tuna uhusiano mzuri na uturuki that why wanatujengea SGR kwa bei chee kabisa

Kubwa zaidi kama ni kweli uturuki wanataka kurudisha ottoman empire ni jambo jema saana
Otoman empire unasema ni jambo zuri ?! Ngoja waanze kuwachukia Utumwa na Kuwakata shafti zenu ili msizae kama walivyokuwa wakiwaafanyia mababu zetu wa Kiafrika.
 
kurudisha ottoman empire ni jambo jema saana
img_2966.jpg
aHR0cDovL3d3dy5saXZlc2NpZW5jZS5jb20vaW1hZ2VzL2kvMDAwLzAzMS8zMzEvb3JpZ2luYWwvZXVudWNoLTEyMDkyNC...jpg

Wanaume wa Kiafrika wakiwa wamekatwa sehemu zao za siri ili wasizaane Wakati wa dola la Kiislamu la Ottoman
 
59c9a74645d2a027e83dde49.jpg
59c99b8645d2a027e83dc12b.jpg

Hawa ni baadhi ya Waafrika wenzetu waliokatwa sehemu zao za siri wakiwa utumwani kwenye Dola la kiislamu la Ottoman ambao leo ni Turki.
 
Two-women-and-eunuch-508x346.png

Picha hii inaonyesha Mwafrika mwenzetu aliyekatwa shafti akiwalinda wanawake kwenye Harim (malaya wa mfalme) wakati wa Dola ya Ottoman
 
Uhuru Kenyatta shujaa wetu pambana utuokoe tutashrikiana mawe kwa hali na mali
 
Uhuru Kenyatta shujaa wetu pambana utuokoe tutashrikiana mawe kwa hali na mali
We Salute you Brother!
 
Ila hamkumbuki WAZUNGU walikua wakiwafanya nini etiU
Babu yake Ben Carson angekatwa shafti leo Ben angelikuwepo?! Waarabu walipeleka Mamailioni ya mababu zetu huko kwao kakini leo hakuna kizazi kilichobakia ila Wazungu leo anagalia akina Kobe Bryant
Sema lingine
 
Hii si vita ya Kenya pekee, tuache ushabiki tuwafyeke hawa jamaa kwa pamoja!
 
Shambulio hilo halijatokea kwenye aridhi ya Tanzania so Tanzania haitoingilia ugomvi usio wahusu hivyo basi sisi kama watanzania tunaitakia kila la kheri KDF huko
Somalia
Hii si vita ya Kenya pekee, tuache ushabiki tuwafyeke hawa jamaa kwa pamoja!
 
Ila angalia ubaguz unaofanyika ulaya.
Mpk kampeni za no racism zinapigwa.
Ukisema hvyo Yemen kuna mahara weusi we mweupe.
Oman kuna Zinjibaar arabs kibao.
Suudia had mkuu wa majesh mweus.
Hapo wasemaje
Babu yake Ben Carson angekatwa shafti leo Ben angelikuwepo?! Waarabu walipeleka Mamailioni ya mababu zetu huko kwao kakini leo hakuna kizazi kilichobakia ila Wazungu leo anagalia akina Kobe Bryant
Sema lingine
 
Kwanza huyo MAHAD MSOMALI BY NATURE
Shambulio hilo halijatokea kwenye aridhi ya Tanzania so Tanzania haitoingilia ugomvi usio wahusu hivyo basi sisi kama watanzania tunaitakia kila la kheri KDF huko
Somalia
 
Nenda Yemen na Oman panakutosha kuona waarabu weusi.
Uachage kuropoka siku nyingine.
Na Ottoman Empire sio waarabu wale.
Ni fursi kitu km hicho.

Back
Top Bottom