imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
- Thread starter
- #81
Otoman empire unasema ni jambo zuri ?! Ngoja waanze kuwachukia Utumwa na Kuwakata shafti zenu ili msizae kama walivyokuwa wakiwaafanyia mababu zetu wa Kiafrika.Acha tu uhuru kenyatta apambane na hali yake sisi siku hizi tuna uhusiano mzuri na uturuki that why wanatujengea SGR kwa bei chee kabisa
Kubwa zaidi kama ni kweli uturuki wanataka kurudisha ottoman empire ni jambo jema saana