Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Raisi wa Somalia ndie mfadhili mkuu wa Marehan terrorist millitia na fedha zinatoka Qatar.
Sasa hivi wanadai hadi Isiolo kuwa ni Ardhi yao unaonaje je waachiwe tu.Mabomu kila siku sasa hadi muelewe vita za mabeberu dhidi ya wasomali hamfai kuingilia mkitafuta upendo wa mabeberu.
Tutaendelea tu kuwazika KDF,watoto wao wawachwe yatima na wake wao wawe wajane.. wala hamna mwisho wa vita na mnao pigana nao hawana gharama ya maisha yao
Somalia hawezi kuichokoza Tz hata iweje alafu wacha tu Kenya apambane na hali yake maana aliyataka mwenyeweMimi natahadharisha ila msiba utakuwa wetu sote.
toa uongo wako wa kiCHADEMA hapa , lete ushahidi
Kenya ilifanya jambo la busara sana ilipotengeneza jamhuri mpya ya Jubaland almaarufu Azania(Asaaniya) au kwa jina lingine la kisomali Doxaada. Rais Ahmed Madobe wa Jubaland, ambaye aliungwa mkono na Kenya hadi akafanikiwa kuwa rais ana umaarufu mkubwa Jubaland zaidi ya kibaraka mwenzake rais Farmaajo wa Somaaliya. Madobe alishinda kwenye uchaguzi hivi majuzi, kwa mara ya tatu. Kenya ikikuza Jubaland hakutakuwa na haja ya kujishughulisha na hivi vita vya ukoo, vya Farmaajo na wapinzani wake kule Mogadishu.Kweli kabisa
View attachment 1150385
joto la jiwe hates this 😂😂Kweli kabisa
View attachment 1150385
Tafakari Haya...Tz in waislamu wengi na vijana hawana kaziSomalia hawezi kuichokoza Tz hata iweje alafu wacha tu Kenya apambane na hali yake maana aliyataka mwenyewe
Kenya wangeichukulia Somalia kama ambovyo Tanzania inaichukulia Burundi
RadicalizationTafakari Haya...Tz in waislamu wengi na vijana hawana kazi
Kama hawana kazi waende wakajiunge na kundi hilo waje wapewe kazi,Tafakari Haya...Tz in waislamu wengi na vijana hawana kazi
Wakikosa namna itawabidi, tayari kadhaa wapo Somalia na Kuna mwingine kafungwa huko Kenya.Kama hawana kazi waende wakajiunge na kundi hilo waje wapewe kazi,
Hii ni Buffer zone ambayo imeanzishwa ili kuzuia mashabulizi ya Alshababu katika ardhi ya KenyaJubaland
Umewekeza nguvu nyingiMimi nimekua nikisema huyu huwa Raisi mchana usiku Gaidi
View attachment 1150391
The Enemy of EA people.
Oman ni nchi ya kislam lkn hakuna ugaidiTafakari Haya...Tz in waislamu wengi na vijana hawana kazi
Kwenye hili suala la Ugaidi tuwache tofauti zetuUmewekeza nguvu nyingi
Kupigania Watu wasio taka kupiganiwa wao full majivuno ujuaji na hawashindwi
acha Fanya yako
tetea kwenu
Hii ni Buffer zone ambayo imeanzishwa ili kuzuia mashabulizi ya Alshababu katika ardhi ya Kenya
Raisi Uhuru Kenyatta ni Very smart na hii stratergy ni nzuri ila hawa magaidi bado waanajipenyeza kwa msaada wa Serikali ya Mogadishu.