Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
Tayari wake wa kinjikitile wameanza udini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali langu wapi uisilamu unapinga utumwa?!...sitaki maneno mengi
wanampigania mungu jiwe wa uisilamu
Hadithi zaifuWE HUONI AYA HIYO YA KWANZA ALLAH ANASEMA ATAKAEKOMBOA WATUMWA HUYO NDIO MUUMIN?!
MFANO BABA AKO AKAKWAMBIA ATAKAEACHA BANGI NDIO MTOTO WANGU HAPO HAJAKATAZA BANGI?!
EMBU TUMIA AKILI KAKA AU WAKENYA WAMEKUTOA AKILI NA GITHERI
Hadithi zaifu
Alshabaab ni kikundi kilichoanzishwa na USA, kwa shambulio la jana lazima mkanunue Silaha na mitambo ya ulinzi kwa Mmarekani kawalipua ili mpeleke pesa.Hichi kikundi kama ilivyokuwa Alshabaab kina baraka zote kutoka kwa Raisi wa Somalia na lengo ni kutangaza jihad dhidi ya wapenda amani wa Kenya.
Ushauri wangu kwa Shujaa Uhuru Mwigai Kenyatta hio Serikali ya wahuni wa Mogadishu ni lazima iondoke kwa udi na Uvumba.
Sisi wana Afrika Mashariki tuko bega kwa bega.
Hadithi zaifu
Zanzibar kwenye soko la watumwa lilijengwa na Waarabu
Zanzibar kwenye soko la watumwa lilijengwa na Waarabu
bila uislamu hii dunia ingekuwa mahali penye amani sana,nikuulize wewe maana nyie kila siku mnaenda kubinua matako mara tano kwa sikuKAMA HUJUI KITU BORA UNYAMAZISHE BAKULI.
AU UNATAKA WAMPIGANIE MUNGU MJAMBAJI YESU
uislamu na uarabu ni kitu kimojaMBONA . HAUTAJI BIASHARA KUBWA YA UTUMWA YA KIHISTORIA DUNIANI KUPATA KUTOKEA YA TRANS ATLANTIC SLAVE TRADE ILIKUA IKIMILIKIWA NA WESTERN IMPERIALISTS?
UNAPOMCHEKA KALIO LAKE MWENZIO JUA LAKO HULION PIA
hebu weka picha ya waarabu weusiLETE USHAHIDI.
WASWAHILII WANAENDA SUUDIA WANARUDI WANAENDA MOROCCO MISRI WANARUD WALIFANYWA WATUMWA?!
YEMEN ASILI YAO NI BROWN COLOR(BLACK RACE) WAARABU WEUSI WAFAHAM HILO.?
HIV WAJUWA KUWA KANALI WA MAJESHI YA SUUDIA MWEUSI.?!
Coward! Mtz akiuwawa nchi nyingine Serikali haipaswi kutenda lolote? Mbona waliouawa Msumbiji hatua zilichukuliwa?Shambulio hilo halijatokea kwenye aridhi ya Tanzania so Tanzania haitoingilia ugomvi usio wahusu hivyo basi sisi kama watanzania tunaitakia kila la kheri KDF huko
Somalia
Huyo mtanzania wa City garden alikuwa anataka kugombania Uraisi wa Jimbo la Juba kwa maana hiyo alikuwa na Uraia pacha.Coward! Mtz akiuwawa nchi nyingine Serikali haipaswi kutenda lolote? Mbona waliouawa Msumbiji hatua zilichukuliwa?