Ni mamemo ya matumaini makubwa mno kutoka kwa Rais Biden, ni muda sasa wa marais wa kiafrica kukaa chini na kutafakari...kuachana na kutamka maneno matamu yenye matumaini ya kukuza demokrasia na utawala bora huku matendo yao yakiwa ni kinyume kabisa.
"The future belongs to those who make their people to breathe free and not whose who seek to suffocate their people on their own hands. " Thank you Mr. Biden.
Yesu mwenyewe aliishi chini ya utawala wa kikoloni wa Warumi na bado aliwafundisha watu kulipa tozo kwa kaizari. Narudia tena Fanyeni siasa ila kumhusisha nayo Yesu ni upumbavu kama upumbavu mwingineoMambo ya kipumbavu ni utawala wa dunia hii?
Kwa hakika ya akina Kingai na wote wenye kushadadia kunyimana kupumua kana kwamba ni wakazi wa kudumu wa dunia hii ni kipumbavu sana.
Mambo ya kipumbavu hivi ni wajibu kuyapiga vita kwa nguvu zote.
Cc: jiwe, Hangaya
SISI ASKOFU MAANA YAKE NINI ACHA NJAA ZAKO UMEIBA SADAKA UMEONA HAZITOSHI UMEKIMBILIA KWENYE SIASAHii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani.
Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii.
Kiongozi dikteta si wa zama hizi.
Hautakuwa peke yako baba askofu.
Zambia wametambuliwa kwa jitihada zao za kujenga demokrasia. Tuko katika njia salama. Kasema rais wa dunia wako tayari kujadiliana na kuwaunga mkono wapigania demokrasia kote duniani.
Pamoja na yote hatuko peke yetu na SSH ameambiwa hivyo kama mjumbe rasmi mkutanoni.
Aluta Continua!
Yesu mwenyewe aliishi chini ya utawala wa kikoloni wa Warumi na bado aliwafundisha watu kulipa tozo kwa kaizari. Narudia tena Fanyeni siasa ila kumhusisha nayo Yesu ni upumbavu kama upumbavu mwingineo
SISI ASKOFU MAANA YAKE NINI ACHA NJAA ZAKO UMEIBA SADAKA UMEONA HAZITOSHI UMEKIMBILIA KWENYE SIASA
Pambaneni kisiasa ila propaganda sijui tuna Yesu hata ccm nao wanasema wana Yesu ila Yesu mwenyewe hayupo kisiasa na hana haja nazoKwamba Yesu aliishi chini ya utawala wa kikoloni ndiyo unaamaanisha ni halali sasa sisi juishi chini ya ukoloni wenu?
Hiiiiii bagosha!
Kwanini basi nyinyi msiwe kama huyo Yesu kuishi chini ya ukoloni wa wengine?
YAANI HUYO MJAMAA ANAYEJIITA ASKOFU NI MWIZI WA SADAKA TU MAASKOFU WENZIE WANACHUNGA KONDOO YEYE KANG'ANG'ANA NA CHADEMA WALIKULA HELA WAKATIWA UCHAGUZI WALAZIMISHE WAUMINI WAOWAPIGIE CHADEMA ILIPOSINDIKANA SASA HIVI MABEBERU WANATAKA HELA ZAO NDIYO ANAHAHA MWENZIE LISSU KAAMUA KWENDA KUOLEWA NAYEYE AKAOLEWE HUKO MAMBO YAISHE ATUACHIE NCHI YETUWewe ni Kingai au Hangaya au Madelu wanufaika wa wizi wa tozo na kodi hali ninyi haziwahusu?
mfumo gani kandamiz kama unauhuru mpaka wa kumnanga hapa unavyowezaSitarajii Mama ataidanganya dunia hapa Tanzania tunaheshimu utawala washeria na demokrasia.
Natamani aombe radhi na atoe ahadi kuwaheshimu Watanzania na kuachana na mifumo kandamizi,
Sitarajii Mama ataidanganya dunia hapa Tanzania tunaheshimu utawala washeria na demokrasia.
Natamani aombe radhi na atoe ahadi kuwaheshimu Watanzania na kuachana na mifumo kandamizi,
YAANI HUYO MJAMAA ANAYEJIITA ASKOFU NI MWIZI WA SADAKA TU MAASKOFU WENZIE WANACHUNGA KONDOO YEYE KANG'ANG'ANA NA CHADEMA WALIKULA HELA WAKATIWA UCHAGUZI WALAZIMISHE WAUMINI WAOWAPIGIE CHADEMA ILIPOSINDIKANA SASA HIVI MABEBERU WANATAKA HELA ZAO NDIYO ANAHAHA MWENZIE LISSU KAAMUA KWENDA KUOLEWA NAYEYE AKAOLEWE HUKO MAMBO YAISHE ATUACHIE NCHI YETU
Pambaneni kisiasa ila propaganda sijui tuna Yesu hata ccm nao wanasema wana Yesu ila Yesu mwenyewe hayupo kisiasa na hana haja nazo
mfumo gani kandamiz kama unauhuru mpaka wa kumnanga hapa unavyoweza
Ya mbele ya kamera na microphone achana nayo, usiyaamini mpaka ukasahau hao ni wanasiasa.Chief Hangaya kesha kupa mrejesho?
Hukusikia alivyohitaji kuonana naye hata kwa selfie Ikiwezekana?
FREEDOM IS COMING TOMORROWHii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani.
Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii.
Kiongozi dikteta si wa zama hizi.
Hautakuwa peke yako baba askofu.
Zambia wametambuliwa kwa jitihada zao za kujenga demokrasia. Tuko katika njia salama. Kasema rais wa dunia wako tayari kujadiliana na kuwaunga mkono wapigania demokrasia kote duniani.
Pamoja na yote hatuko peke yetu na SSH ameambiwa hivyo kama mjumbe rasmi mkutanoni.
Aluta Continua!
Nje ya mada, jibu hoja ya Askofu.Ukiangalia hako kakofia ka askofu wenu utajua mmeisha pigwa hapo hamna kitu.
Lakini alishitakiwa na hatimae kusulubishwa kwa sababu za kisiasa. Katika mahubiri yake aligusa na kutikisa maslahi ya Mafarisayo na hasa Makuhani wao. Kayafa ndiye kuhani mkuu Myahudi aliyesikiliza kesi ya Yesu na kutoa hukumu. (Yoh. 11:48-50)Usimfananishe Yesu na mambo ya kipumbavu. Kwanza Yesu hakujihusisha na siasa alisema wazi utawala wake si wa dunia hii bali wabinguni.
Ni vizur uka ainisha kilichowatoa kweny bunge la katibaSi mlitoka wenyewe kwenye bunge la katiba, kwani mlilazimishwa kutoka?
Zamani....Fanya Fujo Uone (FFU)