- Thread starter
- #21
Ni mamemo ya matumaini makubwa mno kutoka kwa Rais Biden, ni muda sasa wa marais wa kiafrica kukaa chini na kutafakari...kuachana na kutamka maneno matamu yenye matumaini ya kukuza demokrasia na utawala bora huku matendo yao yakiwa ni kinyume kabisa.
"The future belongs to those who make their people to breathe free and not whose who seek to suffocate their people on their own hands. " Thank you Mr. Biden.
Tatizo wako kama huyu:
Kusikia masikio yakiwa makavu haitopata kutokea.