Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Ili wasiendelee kutoleshwa shahidi za uongo. 😂Wao wenyewe wanataka Katiba mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili wasiendelee kutoleshwa shahidi za uongo. 😂Wao wenyewe wanataka Katiba mpya
Ni vizur uka ainisha kilichowatoa kweny bunge la katiba
Ya mbele ya kamera na microphone achana nayo, usiyaamini mpaka ukasahau hao ni wanasiasa.
Mtaandelea tu kupakwa uji kwenye mdomo lakini wanaokunywa wengineeeeee.
Hii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani.
Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii.
Kiongozi dikteta si wa zama hizi.
Hautakuwa peke yako baba askofu.
Zambia wametambuliwa kwa jitihada zao za kujenga demokrasia. Tuko katika njia salama. Kasema rais wa dunia wako tayari kujadiliana na kuwaunga mkono wapigania demokrasia kote duniani.
Pamoja na yote hatuko peke yetu na SSH ameambiwa hivyo kama mjumbe rasmi mkutanoni.
Aluta Continua!
We kenge hutaki katiba mpya?. Ndio mnataka kukandamizwa?. Hata kama uko kwenye madaraka kwa sasa. Unajuaje ya mbele,watoto wako,wajuukuu zako?. Ndio watapiga mawe hata kaburi lakoSi mlitoka wenyewe kwenye bunge la katiba, kwani mlilazimishwa kutoka?
We kenge hutaki katiba mpya?. Ndio mnataka kukandamizwa?. Hata kama uko kwenye madaraka kwa sasa. Unajuaje ya mbele,watoto wako,wajuukuu zako?. Ndio watapiga mawe hata kaburi lako
Second chances are rare, use your first wisely.We kenge hutaki katiba mpya?. Ndio mnataka kukandamizwa?. Hata kama uko kwenye madaraka kwa sasa. Unajuaje ya mbele,watoto wako,wajuukuu zako?. Ndio watapiga mawe hata kaburi lako
Mbingu inapatikwna kupitia duniani.Yesu alikuwa mkali Sana kwa watawala wakandamizaji .dini ni mkusanyiko wa maisha yetu yote.ila siasa ni sehemu tu.Usimfananishe Yesu na mambo ya kipumbavu. Kwanza Yesu hakujihusisha na siasa alisema wazi utawala wake si wa dunia hii bali wabinguni.
Mbingu inapatikwna kupitia duniani.Yesu alikuwa mkali Sana kwa watawala wakandamizaji .dini ni mkusanyiko wa maisha yetu yote.ila siasa ni sehemu tu.
Nipe mafungu ambapo Yesu alikuwa ana dili na watawala (wakandamizaji wa kisiasa) nikajielimishe. Zaidi nachojua wanafiki walitaka kumnasa kwa hila na kumuuliza kama ni halali kulipa kodi kwa kaisari. Aliwajua na aliwaruka. Hili suala la masihi wa kisiasa liliwachanganya sana wayahudi walitegemea Yesu atakuwa masiya wa kisiasa pia kuwakomboa kwenye tawala dhalimu ya kirumi. Lakini haikuwa hivo.Mbingu inapatikwna kupitia duniani.Yesu alikuwa mkali Sana kwa watawala wakandamizaji .dini ni mkusanyiko wa maisha yetu yote.ila siasa ni sehemu tu.
Huyo "IRON HAND" hawezi kukuelewa, yote anaona sawa tu. Bawacha wakifanya jogging, Polisi hawa hapa! CCM wakifanya jogging, Polisi wanafanya escort! Iron hand ataijulia wapi?Umemsikia rais wa dunia?
"The future belongs to those who leave their people to breathe freely. Not those who suffocate them with an iron hand."
Chief Hangaya kesha kupa mrejesho?
Hii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani.
Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii.
Kiongozi dikteta si wa zama hizi.
Hautakuwa peke yako baba askofu.
Zambia wametambuliwa kwa jitihada zao za kujenga demokrasia. Tuko katika njia salama. Kasema rais wa dunia wako tayari kujadiliana na kuwaunga mkono wapigania demokrasia kote duniani.
Pamoja na yote hatuko peke yetu na SSH ameambiwa hivyo kama mjumbe rasmi mkutanoni.
Aluta Continua!
Huyo "IRON HAND" hawezi kukuelewa, yote anaona sawa tu. Bawacha wakifanya jogging, Polisi hawa hapa! CCM wakifanya jogging, Polisi wanafanya escort! Iron hand ataijulia wapi?
Naona harakati zimeanza kulipa Mwamakula kanona!
Kwa hiyo mambo ya siasa ni ya kipumbavu? Labda kwako wewe. Yesu alikuwa katikati ya siasa, siyo kando. Alihukumiwa kifo na mwanasiasa, Gavana wa kirumi. Aliwakubalia Wayahudi njama zao za kumuua Yesu ili apate sapoti yao. WalimtishiaUsimfananishe Yesu na mambo ya kipumbavu. Kwanza Yesu hakujihusisha na siasa alisema wazi utawala wake si wa dunia hii bali wabinguni.
ndio siasa ni upumbavu tena mwingi. Yesu alifanya harakati gani za kisiasa jomba? Hakuwa active kisiasa na alitanabaisha hilo kwa kauli thabiti. Kwanza alipooneshwa na shetani miliki za ulimwengu ili amsujudu na pili alipotegwa suala la kulipa kodi. Suala la kuhukumiwa na pilato hakumfanyi kuwa mwanasiasaKwa hiyo mambo ya siasa ni ya kipumbavu? Labda kwako wewe. Yesu alikuwa katikati ya siasa, siyo kando. Alihukumiwa kifo na mwanasiasa, Gavana wa kirumi. Aliwakubalia Wayahudi njama zao za kumuua Yesu ili apate sapoti yao. Walimtishia