Baada ya as vita kutolewa ,mazembe naye keshapigwa goal

Baada ya as vita kutolewa ,mazembe naye keshapigwa goal

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
As vita a.k.a utopolo de kinshasa wametolewa na ka team kageni cha south africa kwenye kombe la shirikisho kaitwacho Garrants, mechi ya kwanza kapigwa 2-1 huko south africa ,pale kinshasa katoka 1-1

Kwa sasa Giant jingine la congo liko kikaangoni nyumbani kwao lubumbashi , tayari wako nyuma kwa goli moja dhidi ya Amazulu inayofundishwa na Ben mc carthy,mechi ya kwanza iliisha 0-0 huko south africa

Matumaini ya congo yamebaki kwa As maniema waliotoa draw 2-2 na mamelodi sundowns wakiwa congo labda watatoka ugenini na matumaini mengine ni kwa dc motema pembe
Screen Shot 2021-10-23 at 16.58.01.png
 
Aise! Kumbe Ben mc cathy ni kocha! Na steven pirner yule msouth aliyekua anakpiga Everton yupo wap?
 
Benni McCarthy aliwapa promise Management ya AmaZulu mwezi Meikle kwamba ataipeleka timu Group stage ya CAF Champions league.
 
Sijui wanefikiria nini kupanga congo vs South Africa au ni coincidence tu? Halafu timu zote za Congo zinepata wakati mgumu kutoka kwa timu za South Africa
 
Daah timu 2 za Kongo DRC zimeshatoka, sijui wale wanaocheza na Mamelodi kama watapona!
 
Na Al ahaly Naye leo Atoke Mapema [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Simba Tuwafunge Mamelodi Tuchukue Kombe.
 
Naitakia kila la kheri timu yangu ya Jwaneng Galaxy hapo kesho huko dar es salaam
Na imani mechi yetu ya kesho itaamuliwa kwa matuta

ni mimi mwana jf nikiwa Gaborone, Botswana
 
Back
Top Bottom