NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Simba mpaka sasa ana nafasi kubwa ya kuingia makundi kama big giant,sasa hivi vijitimu vya under dog vitakavyoingia makundi ni vya kuangalia kwa umakini mkubwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana dua zetu wanabotswana zimejibiwaNaitakia kila la kheri timu yangu ya Jwaneng Galaxy hapo kesho huko dar es salaam
Na imani mechi yetu ya kesho itaamuliwa kwa matuta
ni mimi mwana jf nikiwa Gaborone, Botswana
@NAWATAFUNASimba mpaka sasa ana nafasi kubwa ya kuingia makundi kama big giant,sasa hivi vijitimu vya under dog vitakavyoingia makundi ni vya kuangalia kwa umakini mkubwa sana.