CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
nafikiri alipewa nafasi kwenye technical bench kule ajax amsterdamAise! Kumbe Ben mc cathy ni kosha! Na steven pirner yule msouth aliyekua anakpiga Everton yupo wap?
nahisi Gor mahia atamtoa yule kibonde wa sudan sema kesi yake imekaa vibaya FIFA ,dickson ambundo aliwasagia kunguni vibaya mnoAfrika Mashariki na Kati yote ni Simba tu ndo itaenda makundi. Utopolo na matimu yote ya kijinga yametoka
Timu za Congo zinauza sana wachezajiNaona sasaivi Congo vilabu vyao vingi vimedrop chini sana kisoka......
Kwanini umesema hivyo? Kwamba timu nyingi zina viwango vya kwaida au umewaza vipi?
Al Ahly hawa kutoka kwao sio hatua hizi labda nusu fainali. Kamtundika mtu goli sitaNa Al ahaly Naye leo Atoke Mapema [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Simba Tuwafunge Mamelodi Tuchukue Kombe.