State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Kuna kila dalili kuwa kituo kinachofuata baada Syria ni Iran.
Baada ya kusoma komenti kadhaa za waajemi masaa machache yaliyopita katika mtandao wa X, nimebaini ya kuwa utawala wa kifamle ulioangushwa katika mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979- mapema sana Januari mwakani (2025) utarudihswa kwa msaada wa Isrsel na mataifa ya magharibi, na Reza Pahlavi wa pili- mwanamfale, na mtoto wa aliyekuwa mfamle Reza Pahlavi (the last emperor) , atatawazwa kuwa mfalme wa Iran.
My take :
Kama alivyofanya Kiduku wa North Korea kusaini mkataba miaka mingi wa ulinzi na Urusi, basi ndivyo hivyo hivyo Mullahs wa Iran inabidi wafanye kwa haraka sana kabla mtoa roho ajafika Tehran.