Baada ya Assad, je anayefuata ni Ayatollah Khomenei!

Baada ya Assad, je anayefuata ni Ayatollah Khomenei!

Iran imeshindws kuisaidia kipenxi chake Assad?! 😇😜
Jeshi lilogoma kupigana utalisaodia vip au unataka wapigane kwa niaba ya jesh la Syria. So far hasadi hakuomba msaada kwa Iran so usitegemee maajabu hapo
 
Hebu tuambie ilipigwaje air defense at the same time tukaona yakidakwa kama kumbikumbi pale Tehran?
Pili Iran kumbuka Iran ana ballistic missiles zenye uwezo mkubwa refer operation true promise 1 and 2 kilichotokea Tel Aviv ndege ni nyongeza tu. Kwasasa Iran anajiandaa kufanya shambulio hajawahi kuweka ahadi halafu aishie njiani kumbuka hilo
Hapa,tanzani Israeli anapewa sifa za kijinga sana hata hazipo mtu amepigwa na dunia imeona wanashadadia aliyepigwa ndo kapigwa huu ulevi sijui ni wa wapi
 
Nadhani na wewe unaandiika kwa hisia tu ila Huna ushahidi wa haya yote unayosema. Iran ilisema shambulio la mwisho la Israel limeleta madhara kidogo sana na makombora mengi yalitunguliwa na Kila mtu aliona. Hayo mambo ya wasichana sichui blaa blaa hizo ni mbwembwe tu ninachojua kwa sasa iran anapanga kufanya shambulio kubwa ambalo ni once and for all na amesshasema hii operation true promise 3 itakua ni ya tofauti naitakua na madhara makubwa. Na itafanywa kwa muda ambao yenyewe inaona unafaam kumbuka Iran hajawahi kuahidi akaacha kutekeleza.
Ulion wapi yametunguliwa? Mbona uharibifu uliofanywa ni mkubwa sana kiasi kashindwa kabisa kumlinda Assad. Hata pole kashindwa kumpa wakati diyo ilikuwa njia na Chaka lake pale kisadia Hezbollah na Hammas.
 
Kuna kila dalili kuwa kituo kinachofuata baada Syria ni Iran.

Baada ya kusoma komenti kadhaa za waajemi masaa machache yaliyopita katika mtandao wa X, nimebaini ya kuwa utawala wa kifamle ulioangushwa katika mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979- mapema sana Januari mwakani (2025) utarudihswa kwa msaada wa Isrsel na mataifa ya magharibi, na Reza Pahlavi wa pili- mwanamfale, na mtoto wa aliyekuwa mfamle Reza Pahlavi (the last emperor) , atatawazwa kuwa mfalme wa Iran.

My take :
Kama alivyofanya Kiduku wa North Korea kusaini mkataba miaka mingi wa ulinzi na Urusi, basi ndivyo hivyo hivyo Mullahs wa Iran inabidi wafanye kwa haraka sana kabla mtoa roho ajafika Tehran.
View attachment 3172523View attachment 3172524View attachment 3172525View attachment 3172526
khamenei yupo Sana jipe moyo
 
Hivi mbona Israel hasemagi chochote kuhusu hili tukio au angalau kutoa picha au video zake? Au anamwacha aliyepigwa aseme mwenyewe?
Check sura za viongozi wao, both Iran and Israeli. Wiki moja baada ya lile shambulizi, Netanyahu alionekana beach anapunga upepo na kusalimiana na watu huku anathema cheka while viongozi wa Iran baada tu ya kutamka kwamba "madhara yalikua kidogo sana" vitendo vyao na confidence ilipungua sana
 
Back
Top Bottom