Baada ya Assad, je anayefuata ni Ayatollah Khomenei!

Baada ya Assad, je anayefuata ni Ayatollah Khomenei!

Hilo jambo la kawaida mbona Ufaransa ameshindwa kuwalinda vibaraka wake Africa Magharibi mwishowe watu wote wamepinduliwa na nchi zote kuwa chini ya ushawishi wa Urusi?
Au mbona Marekani na vibaraka wake wameshindwa kuisaidia Ukraine kurudisha ardhi yake iliyo tekwa na Urusi licha ya kuirundikia siraha mpaka maghara yao kubaki meupe.
Hii ya maghala kubaki meupe shekhe changa la macho hili
 
Kwani kigezo Cha Irani ni Marekani na Ufaransa??🎤
Nimetoa mfano huo ili kuonesha kuwa nchi kupoteza kimkakati ni jambo la kawaida na nchi nyingi zimeshatia njia hiyo.
 
Jitahidi kusoma na kuunganisha matukio, usi comment kwa mahaba au chuki. Hizi sio dalili nzuri kwa Iran. Kama unaweka kumbukumbu vizuri, tokea Israel afanye lile shambulio la ndege ambalo tulisema eti hakukua na madhara, since that day, Iran ni kama alipoteza confidence hadi leo, lakini pia hata jeuri ya Assad na Syria yake ni kama pia ilipungua sana, jaribu kurudisha kumbukumbu zako nyuma. Kuna jambo baya wale wasichana marubani wa ndege za kivita walilifanya pale Iran. Mleta uzi ni kama ana point; let's keep on waiting
Nadhani na wewe unaandiika kwa hisia tu ila Huna ushahidi wa haya yote unayosema. Iran ilisema shambulio la mwisho la Israel limeleta madhara kidogo sana na makombora mengi yalitunguliwa na Kila mtu aliona. Hayo mambo ya wasichana sichui blaa blaa hizo ni mbwembwe tu ninachojua kwa sasa iran anapanga kufanya shambulio kubwa ambalo ni once and for all na amesshasema hii operation true promise 3 itakua ni ya tofauti naitakua na madhara makubwa. Na itafanywa kwa muda ambao yenyewe inaona unafaam kumbuka Iran hajawahi kuahidi akaacha kutekeleza.
 
Mifumo yote ya ulinzi wa anga ya Iran iliiangamizwa hivyo Iran yuko uchi wa mnyama hawezi kumshambulia mtu.

He is a toothless dragon.🤣🤣🤣
Sasa kama iliangamizwa ile iliyokua inazuia Yale makombora ilitoka wapi?😂
 
Iran ilipigwa air defense systems zake kwa F-35 bila kuangusha ndege hata moja.

Hizo Su-35 ni mpaka ziwepo nyingi kuleta matokeo. Training, uzoefu, ammo navyo vinahitajika. Na hata hivyo Su-35 sio kitu mbele ya F-35 au F-15EX ambazo hizi Israel inaagiza.
Hebu tuambie ilipigwaje air defense at the same time tukaona yakidakwa kama kumbikumbi pale Tehran?
Pili Iran kumbuka Iran ana ballistic missiles zenye uwezo mkubwa refer operation true promise 1 and 2 kilichotokea Tel Aviv ndege ni nyongeza tu. Kwasasa Iran anajiandaa kufanya shambulio hajawahi kuweka ahadi halafu aishie njiani kumbuka hilo
 
Kuna kila dalili kuwa kituo kinachofuata baada Syria ni Iran.

Baada ya kusoma komenti kadhaa za waajemi masaa machache yaliyopita katika mtandao wa X, nimebaini ya kuwa utawala wa kifamle ulioangushwa katika mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979- mapema sana Januari mwakani (2025) utarudihswa kwa msaada wa Isrsel na mataifa ya magharibi, na Reza Pahlavi wa pili- mwanamfale, na mtoto wa aliyekuwa mfamle Reza Pahlavi (the last emperor) , atatawazwa kuwa mfalme wa Iran.

My take :
Kama alivyofanya Kiduku wa North Korea kusaini mkataba miaka mingi wa ulinzi na Urusi, basi ndivyo hivyo hivyo Mullahs wa Iran inabidi wafanye kwa haraka sana kabla mtoa roho ajafika Tehran.
View attachment 3172523View attachment 3172524na watamtoa tu, amesha yatimba
 
Iran imeshindws kuisaidia kipenxi chake Assad?! 😇😜
Vita ni mkakati na aliyeshauri Assad asigane ni Putin kwa sababu ya kuepusha Mauaji ya wasiria ingekua ni vita ya wavamizi kutoka nje ya Syria Assad asingeondoka ila kama Assad angekomaa apambane ingetokea civil war ya wenyewe kwa wenyewe. ambayo imechochewa na watu kutoka nje. Kwahiyo hapa mshindi ni Assad
 
Wewe mtu kutoka huko kamachumu nani kakuteua kuwa refer mpaka umtangaze mshindi?
 
Iran ilipigwa air defense systems zake kwa F-35 bila kuangusha ndege hata moja.

Hizo Su-35 ni mpaka ziwepo nyingi kuleta matokeo. Training, uzoefu, ammo navyo vinahitajika. Na hata hivyo Su-35 sio kitu mbele ya F-35 au F-15EX ambazo hizi Israel inaagiza.
Propaganda TU hizo Hollywood films zimewafanya hivyo
 
Hebu tuambie ilipigwaje air defense at the same time tukaona yakidakwa kama kumbikumbi pale Tehran?
Pili Iran kumbuka Iran ana ballistic missiles zenye uwezo mkubwa refer operation true promise 1 and 2 kilichotokea Tel Aviv ndege ni nyongeza tu. Kwasasa Iran anajiandaa kufanya shambulio hajawahi kuweka ahadi halafu aishie njiani kumbuka hilo
Kuna kizazi chepesi sana kudanganyika na wewe ni mmoja wao. Subiri Wenye akili walianzishe tuone utakuja na maneno gani tena.

Mlidanganywa, mkadanyika na kukaza shingo, oo Israel akiingia Gaza atakuwa ame cross read line, Mara oo Israel akipeleka Infantry Gaza ndio makaburi yake, Mara oo Israel akiipiga Lebanon Hesbollah watailipua nchi yote, baada ya promise 2 mkaja oo kwa kichapo Israel alichopata hatadhubutu kulipa kisasi, bla blaaa bla blaaa!

Subiria tu utaona. Ayatolla na mapete yake ya majini anaenda kuwa na mwisho wa aibu.
 
Israel Hana uwezo wowote usitake kumpa ukubwa huo hana zaidi ya mambo magumu yote anafanyiwa na marekani
 
Nadhani na wewe unaandiika kwa hisia tu ila Huna ushahidi wa haya yote unayosema. Iran ilisema shambulio la mwisho la Israel limeleta madhara kidogo sana na makombora mengi yalitunguliwa na Kila mtu aliona. Hayo mambo ya wasichana sichui blaa blaa hizo ni mbwembwe tu ninachojua kwa sasa iran anapanga kufanya shambulio kubwa ambalo ni once and for all na amesshasema hii operation true promise 3 itakua ni ya tofauti naitakua na madhara makubwa. Na itafanywa kwa muda ambao yenyewe inaona unafaam kumbuka Iran hajawahi kuahidi akaacha kutekeleza.
Sijasema kwamba nilicho andika ndio ukweli; nimekushauri kwamba, jaribu kuunganisha matukio (maneno ya Iran na Israel yanaweza kua sio ya kweli) baada ya lile shambulio la zile ndege ni kama Iran alipoteza confidence. Nipinge hapo. Wewe kwa akili yako uliyegemea Iran aseme kwamba "kapigwa"? Au unategemea mashabiki wa Israel waseme kwamba "walishindwa"? Angalia matendo, actions zitakuonesha kwamba kulikua na madhara or hapana. Baada ya lile shambulio (achana na maneno ya propaganda ) Iran alitamka hadharani kwamba vita na Israel sio kipaumbele chao, uzi upo humu. Lakini jambo la pili, tumeona Assad anaelemewa na wapinzani/waasi wake, tumeona ni kama vita imekua ya upande mmoja tu, kelele za cease fire kwa Israel na Hezbollah zimeongezeka na hatimae ikasainiwa mikataba lakini Israel ni kama hawaelewi, wameendelea kushambulia hadi juzi limetoka tamko from ICC kwamba Netanyahu anatakiwa. Hi ni tathmini yangu binafsi, sija base kwenye mahaba wala chuki kwa yeyote. Kumbuka Hezbollah na Syria ya Assad walikua backed up na Iran plus Russia. Kitendo cha Assad kupoteza nguvu hatimae kupinduliwa, wewe kinakupa tafsiri gani? Unadhani Uturuki inaweza kua na nguvu kuizidi Iran and Russia? No
 
Jitahidi kusoma na kuunganisha matukio, usi comment kwa mahaba au chuki. Hizi sio dalili nzuri kwa Iran. Kama unaweka kumbukumbu vizuri, tokea Israel afanye lile shambulio la ndege ambalo tulisema eti hakukua na madhara, since that day, Iran ni kama alipoteza confidence hadi leo, lakini pia hata jeuri ya Assad na Syria yake ni kama pia ilipungua sana, jaribu kurudisha kumbukumbu zako nyuma. Kuna jambo baya wale wasichana marubani wa ndege za kivita walilifanya pale Iran. Mleta uzi ni kama ana point; let's keep on waiting
Hivi mbona Israel hasemagi chochote kuhusu hili tukio au angalau kutoa picha au video zake? Au anamwacha aliyepigwa aseme mwenyewe?
 
Back
Top Bottom