Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Mambo yameendelea kushika kasi huko Syria.
Waandamanaji na wananchi wameingia kwenye Benki ya Syria (Central Bank Of Syria) na kuanza kubeba maburungutu na maboksi ya fedha.
Kwenye video zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, waandamanaji wameonekana wakiwa kwenye wanatoka benki na fedha nyingi huku wengine wakiwa kwenye magari na maboksi ya fedha.
===================================
Ni rasmi Syria sasa ime-collapse. Hata huo uchumi mdogo waliokuwa nao sasa hivi ndo uta-collapse kabisa.
Kwa wale mnaopenda kulaumu Marekani kwenye kila kitu take note. Marekani haikushiriki kwenye ujinga huu.
Ni Wasyria wenyewe.