Weka hapa hiyo audio, mimi sitaki kuuziwa mbuzi Kwenye kiloba
Asituchoshe hapa, wenzie tupo episode 6 yeye ndo kwanza hata moja hajamaliza then anatuletea ngwe ngweNenda YouTube usituchoshe na ww sie tunafuatilia hii series... Now steering kajificha kwenye shamba la karanga, kikosi kimetia timu je atapona? [emoji15][emoji15][emoji15]
Wakati sakata la audio inayosemekana ni mazungumzo baina ya mtu anayesadikiwa kuwa steve nyerere na mama wa wema sepetu kuvuja, Video queen maarufu nchini, Anna Patrick maarufu kama Tunda amemjia juu steve nyerere na kumtolea maneno ya shombo baada ya steve kusikika kwenye audio iliyovuja akimponda tunda kuwa ni mjinga kukubali kurubuniwa na makonda na kupewa mil 2.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kanagongwa na shetaniEt Amalia ad kulia, kasenge sana kajamaaa
Aliitwa sentro jamani.....hivyo ametii amri bila shuruti tumsamehe bure.Matatizo ya kuishi mjini kiujanja ujanja, kule alisema mako hana maana wala hataongea nae tena, kwenye press conference anasema mheshimiwa mkuu wa mkoa natimiza majukumu yake.
Piga mashineHivi dawa nzuri ya watu kama Steve nyerere a.k.a wanafiki ni nini?
me nataka kuwa wapinzani walisema ccm wakiwapa hela pokeeni lkn chumba cha kupiga kura utakuwa peke yako.. so hela haihusiani na chochote steve karopoka tu kn hela nishachukuaKwa hiyo Suzie una muunga mkoni bwana steve!?
Hayame nataka kuwa wapinzani walisema ccm wakiwapa hela pokeeni lkn chumba cha kupiga kura utakuwa peke yako.. so hela haihusiani na chochote steve karopoka tu kn hela nishachukua
acha wapambane na hali zao me yangu macho tuHaya
Lakn huyu hata hela hajapewa anahangaika tu mwenyewe
Afu iwe tume huru....na jf tutoe mwakilishi...awe warumiiundwe tume ya kumchunguza huyu jamaa labda boga!!
Hahahaacha wapambane na hali zao me yangu macho tu
Ndio sura yake!Hivi analia ama? [emoji23][emoji23][emoji23]