Baada ya Audio kuvuja, Tunda Amlipua Steve Nyerere

Baada ya Audio kuvuja, Tunda Amlipua Steve Nyerere

Nenda YouTube usituchoshe na ww sie tunafuatilia hii series... Now steering kajificha kwenye shamba la karanga, kikosi kimetia timu je atapona? [emoji15][emoji15][emoji15]
Asituchoshe hapa, wenzie tupo episode 6 yeye ndo kwanza hata moja hajamaliza then anatuletea ngwe ngwe
 
Wakati sakata la audio inayosemekana ni mazungumzo baina ya mtu anayesadikiwa kuwa steve nyerere na mama wa wema sepetu kuvuja, Video queen maarufu nchini, Anna Patrick maarufu kama Tunda amemjia juu steve nyerere na kumtolea maneno ya shombo baada ya steve kusikika kwenye audio iliyovuja akimponda tunda kuwa ni mjinga kukubali kurubuniwa na makonda na kupewa mil 2.
a9ab5efc03b5ce93f0fc1d61abffdbaf.jpg


Huyu Emoro a.k.a. Mbilikimo ni shidaa kwa kweli, yaani ni mnafiki sijapata ona. Mwanamme wa namna hii kule kwetu ananunuliwa sidiria na chupi dizaini ya bikini tena anavalishwa hadharani kwa kulazimishwa. Amenikifu sana huyu mtoto, yaani hana tofauti na mashoga wa hapa mjini.
 
Haa haa haa aiseee
Kwny ile audio nmecheka sana at na ustar wang wote
Nalala chumba cha elf 30 dodoma Steve huyoo
 
Matatizo ya kuishi mjini kiujanja ujanja, kule alisema mako hana maana wala hataongea nae tena, kwenye press conference anasema mheshimiwa mkuu wa mkoa natimiza majukumu yake.
Aliitwa sentro jamani.....hivyo ametii amri bila shuruti tumsamehe bure.
 
Kwa hiyo Suzie una muunga mkoni bwana steve!?
me nataka kuwa wapinzani walisema ccm wakiwapa hela pokeeni lkn chumba cha kupiga kura utakuwa peke yako.. so hela haihusiani na chochote steve karopoka tu kn hela nishachukua
 
me nataka kuwa wapinzani walisema ccm wakiwapa hela pokeeni lkn chumba cha kupiga kura utakuwa peke yako.. so hela haihusiani na chochote steve karopoka tu kn hela nishachukua
Haya
Lakn huyu hata hela hajapewa anahangaika tu mwenyewe
 
Haka kajamaaa ni kapuuzi kuliko upuuzi wenyewe,mwanaume gani unakua na tabia kama hizi,bure kabisa
 
Back
Top Bottom