Baada ya Audio kuvuja, Tunda Amlipua Steve Nyerere

Matatizo ya kuishi mjini kiujanja ujanja, kule alisema mako hana maana wala hataongea nae tena, kwenye press conference anasema mheshimiwa mkuu wa mkoa natimiza majukumu yake.
My usiombe hata siku moja kukutana na kiumbe mwanadamu alieamua kufikiria kwa kutumia tumbo lake.
 
Huwa nawashangaa zaidi waandishi wa habari wanaoitwa na kinyago kama huyu kwenye press conference sidhani kama ni waandishi kweli labda washika camera tu.
Vipaza sauti tu vinaonyesha ni waandishi wa namna gani (udaku)
 
Steve ni kuwadi mzuri sana.Anakuletea mwanamke yoyote mzuri mji huu,hata awe nani Steve analeta goma anakuachia mezani.Sijui anafanyaje fanyaje wallahi
 
Vimacho km kapokonywa sahani ya biriani vile na vimachozi vya tamthilia.
 
Steve ni kuwadi mzuri sana.Anakuletea mwanamke yoyote mzuri mji huu,hata awe nani Steve analeta goma anakuachia mezani.Sijui anafanyaje fanyaje wallahi
Ndo keshachemsha sasa.
Mwambie atafute kazi ingine. (NB: Iwe inalipiwa kodi TRA)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi nakwambia wengi hapa tuna msema Nyerere ila ingekuwa kila mtu anarekodiwa mambo yake private wengi tungekimbiana

Ila alivo itisha press ndio alijichanganya kabsaaa.
Mjanja yule ndio maana ameitisha Press Conference. La sivyo sasa ivi angekuwa kaifaziwa pale central police kwa ajili ya mahojiano
 
Dah! kwa jinsi mnavyomsema Steve Nyerere hapa JF. Nitaenda kumbia pamoja na umbea wenu wote pumbaf zenu!
 
Mjanja yule ndio maana ameitisha Press Conference. La sivyo sasa ivi angekuwa kaifaziwa pale central police kwa ajili ya mahojiano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi ana ishi ki woga sana
 
Mkuu huko kwenu shikamoni wote.....hata maji siombi
 
ni kichekesho kwamba watu wasio kuwa na akili kama hawa ndio wanaoongoza nchi sasaivi, wanaweza kuwaaproach hata viongozi wetu wakubwa kabisa. atu sifuri kama huyu naye ni mtu muhimu kwenye nchi hii?
Hahaha! Watu WA aina hii ya Steve ni mabingwa WA kujipendekeza na kujikomba kwa Wakubwa ndio maana unawaona Wana connection na viongozi
 
Dah! kwa jinsi mnavyomsema Steve Nyerere hapa JF. Nitaenda kumbia pamoja na umbea wenu wote pumbaf zenu!
Halafu huyo andunje AKOME TENA AKOME KABISA kutumia jina LA NYERERE.. Atumie jina lake la Steve MENGELE. ...... I'M SERIOUS ON THIS.
 
Lakini jamani kulia nacho pia ni kipaji [emoji23]
 
Hicho kibwengo looh ni aibu sana kwa kweli. Siamini maneno alosema anabadili gia hatari ha haa. Halafu anamwambia mama Wema maneno kwamba nimeota ndoto tumezaa mtoto ha ha is he serious hata kama ni utani its too much
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi nakwambia wengi hapa tuna msema Nyerere ila ingekuwa kila mtu anarekodiwa mambo yake private wengi tungekimbiana

Ila alivo itisha press ndio alijichanganya kabsaaa.
Mkuu na wewe unamambo kama ya Steve mengere nini? Acha Mara moja mkuu
 
Mkuu na wewe unamambo kama ya Steve mengere nini? Acha Mara moja mkuu
I beleive siyo siku zote nimekuwa niko careful kwenye kuongea na naamini binadamu wote tuko hivo

Tukisema tudukuane hapa watu tulivo viongea kwenye simu zetu HAKUNA atakaye toka bila ku m offend mtu fulane.
Mi sipretend kama ni mtu mkamilifu so naona Nyerere alicho kosea ni kuitisha press ya haraka kabla mambo hayajatulia na hajui aseme nini.
Ni kawaida sana hizo ishu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…