Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
My usiombe hata siku moja kukutana na kiumbe mwanadamu alieamua kufikiria kwa kutumia tumbo lake.Matatizo ya kuishi mjini kiujanja ujanja, kule alisema mako hana maana wala hataongea nae tena, kwenye press conference anasema mheshimiwa mkuu wa mkoa natimiza majukumu yake.