Hahahahaha sawa ilo najua lakini mile kiemoro kimeongea kama mtu wa jinsia ya tatu mkuu usikiteteeI beleive siyo siku zote nimekuwa niko careful kwenye kuongea na naamini binadamu wote tuko hivo
Tukisema tudukuane hapa watu tulivo viongea kwenye simu zetu HAKUNA atakaye toka bila ku m offend mtu fulane.
Mi sipretend kama ni mtu mkamilifu so naona Nyerere alicho kosea ni kuitisha press ya haraka kabla mambo hayajatulia na hajui aseme nini.
Ni kawaida sana hizo ishu
HaaahahHahahahaha sawa ilo najua lakini mile kiemoro kimeongea kama mtu wa jinsia ya tatu mkuu usikitetee
ha ha haWanaume wafupi soko letu linazidi kubanwa na wanachama kama hawa.
Tujipange
HahaahahEt Amalia ad kulia, kasenge sana kajamaaa
Hahahhahah eti wema naye anachukua coverage ya magazeti yetu.kweli hatuna magazeti na waandishi mkuuni kichekesho kwamba watu wasio kuwa na akili kama hawa ndio wanaoongoza nchi sasaivi, wanaweza kuwaaproach hata viongozi wetu wakubwa kabisa. atu sifuri kama huyu naye ni mtu muhimu kwenye nchi hii?
aliongea nini?Yes halafu huwa hatujibu watu wakat tuna jazba au tuko kwenye uncertainity angemuuliza manji tu angepata jibu, shida kama hizo sio za ku react haraka.
Kwenye press ndio aliharibu zaidi
IMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAGINE!Hahahhahah eti wema naye anachukua coverage ya magazeti yetu.kweli hatuna magazeti na waandishi mkuu
Hahahaaliongea nini?
KAMA HAKA KAMTU KANAITA KINA MBOWE "Freeman"
enh hii nchi ilipo SIO YA MCHEZO MCHEZO!
mie tu humu jf naitwa TICHA!
sasa najiuliza huyu kurumbizi anamwitaje mtu kwa aina hii?
YANAYOTOKEA BEHIND BENDERA ZA VYAMA NA MAJENGO YA SERIKALI NI MUNGU TU AINUE MKONO WAKE!
nimejiskia HOVYO SANA!
af msimwite hili jina LINAMFANYA AJIKUTE NAE NI MAKONGORO UJUE?Hahaha
I luv tchaz
Ujue Nyerere alijiachia sana kwenye mazungumzo so si hakujua kama ana rekodiwa
But the whole covarage of this saga as a very portant issue inaonesha jinsi kama taofa vile hatuko siriaz
Hahahahaaf msimwite hili jina LINAMFANYA AJIKUTE NAE NI MAKONGORO UJUE?
Huwa nawashangaa zaidi waandishi wa habari wanaoitwa na kinyago kama huyu kwenye press conference sidhani kama ni waandishi kweli labda washika camera tu.
Si ajabu alikuwa anaendeleza usanii hata kwenye hiyo "press conference".[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alikuwa ana mfariji mama yake tu jamani
Hakumaanisha