pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Hahahahaha sawa ilo najua lakini mile kiemoro kimeongea kama mtu wa jinsia ya tatu mkuu usikiteteeI beleive siyo siku zote nimekuwa niko careful kwenye kuongea na naamini binadamu wote tuko hivo
Tukisema tudukuane hapa watu tulivo viongea kwenye simu zetu HAKUNA atakaye toka bila ku m offend mtu fulane.
Mi sipretend kama ni mtu mkamilifu so naona Nyerere alicho kosea ni kuitisha press ya haraka kabla mambo hayajatulia na hajui aseme nini.
Ni kawaida sana hizo ishu