kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Kiukweli mie ni mmoja wa waliofurahishwa na mchakato wa kubinafsishwa bandari ya Dar es salaam.
Wadau sote tunajua kuna uvujaji mkubwa wa mapato pale port unaotokana na urasimu, ucheleweshaji mizigo, rushwa, Wizi, ukwepaji kodi na hivyo serikali kuambuliakidogo huku kipato kikubwa kiki toroshwa na kuingia kwenye mifuko ya watendaji wasio waaminifu.
Haya matozo yanayo ongezwa ku finance budget ya serikali yanatokana na vitega uchumi rasmi vya serikali kama bandari kujaa majizi na watendaji legelege wanaowaza kuiba na rushwa.
Baada ya bandari naomba Mwshimiwa raisi aangalie shirika la reli. Tunaona inchi zilizo endelea jinsi usafili wa reli ulivyo kiungo mhimu cha usafili na pato la taifa. Kwetu usafili wa reli ni ubabaishaji mtupu to the level that haina tija kwenye mchango wa pato la taifa.