Kama wanajielewa walikwendaje kumpa kazi ya kuwanunulia Magari yule bilionea wa mchongoNa jamaa inaelekea wanajiekewa sana.
Hata kama, yeye awaletee magari au awarudishie fedha zao.Huyo Kanjibai kapangwa na J4 Muliro.
Watu wanataka uwaonyeshe documents unawapa feki, watu wanataka document unaleta Konakona...bilionea unashindwa kulipa 100m unaharibu jina lako.
Hata kama, yeye awaletee magari au awarudishie fedha zao.
kupigwa kama ngoma 😂Baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu kwa jina la Bilionea Shami kudai kuwa ametishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa Polisi, amejibiwa na waliojitambulisha kuwa ni wahusika aliofanya nao biashara wakimtaka alipe fedha alizopewa na sio kulalamika mitandaoni.
Wasikilize mwenyewe hapa
Habari ya kwanza ni hii > Mfanyabiashara bilionea Dar es Salaam, adai kutishiwa maisha, akimbia kwa pikipiki kutoroka asiuawe hadi Arusha