Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

Aliyevunja mkataba ni huyo muhindi alafu analalamika anaonewa
Unatoaje order alafu unakuja ku-cancel kihuni huni
Kumbuka hakuna draft yoyote iliyofanyika ndiyo akatia shaka aka tress China ikaja nil, acheni kutetea wezi, "WIZI WA KUAMINIWA HUU"......
Unapoagiza kitu huwa na hali ya kuproof movement, so every tress come to nil.
 
Bilionea anakimbia kwa madai ya milioni 100 badala ya kuweka wakili yeye aendelee na kazi.
Utapeli haufai, ukiumbuka ya suluhishe kwa amani na unyenyekevu
 
Hujui abc za biashara sio kosa lako
Biashara unatakiwa uwe na roho ngumu (ruthless) sio lelema ndo maana wako wachache

Ndo matajiri wote wanaroho ngumu buashara sio rahis kama unavyodhani mteja unamrudishia fedha kirahis rahisi

Kama ni mimi, aise atashikika tu. Haki ya mtu haipotei hapa.

Arudishe pesa ya watu, hivi ni mchagga sio?
 
Hao wahindi sijui waarabu walitaka serereko pia maana tunajua wanamakampuni mengi ya yanayofanya kazi hizo hapa nnchini kwanini waende kwa dalali alafu kwanini pia walikuwa wanatuma hela kama wanahongo vile..
Huu ubilionea wa Tanzania nao ni kizaizai!!Yaani unajiita Bilionea unakimbia mpaka mji kwa 100Million?

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Tena kukibia kwenyewe na pikipiki ya kukodi a.k.a bodaboda...
 
Mtanzania mgumu kuheshimu pesa ya mwenzake. Anailia bia makusudi alafu anakwambia naweza lipa elfu 40 kwa mwezi. Hapo ukiangalia deni litaisha baada ya miaka mitano, wakati yeye alilia bia na malaya wiki tu.
Kikubwa ni kumaliza nae kibingwa maana deni la million 100 kwa kulilipa hivyo ni zaidi ya mortgage. Miaka 100 ijayo ndio litaisha. Sasa kuliko huo upumbavu kesi ikiisha mahakamani tunaenda kuimalizia mtaani.
 
Biashara ya pesa nyingi hivyo wameshindwaje kutafuta kampuni yenye jina na uzoefu wakafanya nayo kazi
Walikuwa wanataka used. Kampuni nyingi hazifanyi used na wanaofanya hawana uzoefu kama wa huyo Shami. Ndo maana wakaenda direct hadi showroom. Kama ushafanya hizi issue za logistics wala hata hamna kitu kigumu kuelewa hapo.
 
Hivi polisi bado hawaja pata hizo 100m, kuna hamisho lolote la fedha katoka bongo kwenda china kulipia hizo lorry .au kulikuwa na hamisho kwenda humu humu bongo na kutoa fedha taslimi za matumizi binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…