dawa yenu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 2,825
- 3,675
Watu wengine ndio maana wanafanywaga vibaya halafu familia zao zinaishia kulalamika , iwe madai isiwe arudishe hela za wenyewe, basi..
Sawa wameingizwa mjini kishamba, Sasa hao washamba wanataka Hela Yao kwanini mjanja akimbie mji?Hapana mkuu kwanza waliambiwa bei ya jamaa mpaka dar na wakalinganisha na China wakaona ziko sawa
Sasa wao wakaona badala ya wao kwenda si bora wanunue hapa kwa jamaa
Ila wamekuja kushtuka baada ya kuona mda wa mzigo kuingia umepita na anawazungusha ndio wakaanza kupiga simu China na kufuatilia kumbe jamaa wala hawamjui billionaire
Wamechelewa sana kushtukia mchezo
Ni kama uende kariakoo halafu uanze kushangaa Shangha nje ukiangalia bidhaa halafu jamaa anakuambia nikasaidie nini unamwambia hii sh ngapi anakupa bei na anakuambia nilipe hapa nikakutolee mzigo stoo utakubali?
Wakati malipo ni ndani kwenye counter?
Mimi naona wameingizwa mjini kishamba sana aisee