King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Linakwamakwama liclip bwana
Hata kama, arudishe pesa za watu, otherwise mahakama sheria iingilie kati aswekwe ndani mpaka alipe pesa za watu
Kwani hao kanjibai walikabwa na kuporwa pesa? Si walitoa wenyewe kwa makubaliano ya kuletewa magari? Sasa mbona walighairi baada ya week? Wafanyabiashara wanatengeneza tu B/L feki ili kodi zisiwe kubwa ,ndiyo maana contena la elecetroniks device wanaandika Yeboyebo ,kwahiyo B/L feki siyo issue.