Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

Kila siku humu tunawashauri watu na kuwahasa agizeni ama nunueni magari ya aina yoyote madogo hadi makubwa kupitia Dotto magari na Issa Tambuu motors lakini hamsikii. Acheni mpigwe tu hamna namna.
Hao madalili ndio matapeli,hicho kiyard chao kimekaa kama banda la shisha...gari nunua yard ulipe upewe chuma chako
 
Anayedai pesa ndio anatakiwa aende mahakamani, ili aweze kulipwa; hii kutumia nguvu inatafsiri vitu tofauti

Deni halilipwi kirahisi sababu kila mtu anavutia kwake
Waende mahakamani

Nakwambia kitu ambacho kitakusaidia mtu mweusi huwaga haaminiwi hata kama yeye ndo yuko sahii
Mimi mwenyewe ni ngumu sana kumuamini mtu mweusi hata nikienda huko nje sipendi kudeal na mtu mweusi ni kama tuna laana yani tunawaza kuharibiana tu maisha
 
Hao madalili ndio matapeli,hicho kiyard chao kimekaa kama banda la shisha...gari nunua yard ulipe upewe chuma chako
Hahaha. Dotto anakuambia ukija na fundi wako kukagua kabla ya kununua anakufukuza. Kwasababu magari ni ya kuaminika na uhakika huna haja ya kushuku. Na Issa ni mtu wa sala tano muaminifu very humble guy. Haki ya nani nitamuungisha Issa hii likizo ya mwezi wa 4 nakuja bongo.
 
Hao madalili ndio matapeli,hicho kiyard chao kimekaa kama banda la shisha...gari nunua yard ulipe upewe chuma chako
Issa ameboresha ofisi sasa hivi. Bonge la ofisi. Jamaa simple alijiachia sana hadi wabongo akaanza kusingizia hela zake za uchawi. Jamaa ilimuuma sana sasa hivi akaamua tu kuwanyamazisha anakupigia kaunda Jeans Nike na Adidas rubber na anatembelea V8 na range. Wabongo bana yani jamaa aliamua tu kuwa simple humble. Mbona mark Zuckerberg hawasemi mali zake za uchawi wakati wanavaaga vi tshet uchwara? Issa Tambuu is a very humble gentleman halafu 33 years. salesman wake anataka kumjibu mwijaku kwa kujenga ghorofa kali.
 
Promota wa issa tambuu
 
Kizazi cha machawa mmekutana. Unapata wapi muda wa kujadili wanaume hivi? Sisi wanaume tupo busy sana nyie madogo wa siku hizi mnawezaje kukaa na kuelezeana hivi?
 
Baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu kwa jina la Bilionea Shami kudai kuwa ametishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa Polisi, amejibiwa na waliojitambulisha kuwa ni wahusika aliofanya nao biashara wakimtaka alipe fedha alizopewa na sio kulalamika mitandaoni.

Wasikilize mwenyewe hapa

Kila siku humu tunawashauri watu na kuwahasa agizeni ama nunueni magari ya aina yoyote madogo hadi makubwa kupitia Dotto magari na Issa Tambuu motors lakini hamsikii. Acheni mpigwe tu hamna namna.
Dotto Magari huyuhuyu mjingamjinga asiyejua hata kusoma? Hivi mtu upo serious unataka kuagiza magari ya pesa kuanzia 500+ (kama hao jamaa) utaenda kukaa mezani na Dotto?

😂
 
Anaongea sana hii sio madai anajua kajichanganya. Hata mimi siwezi kuagiza gari la 10m kienyeji hivyo.
Kwa ufupi mteja na muuzaji wote wamekutana watu wa magumashi.

Mmoja kawazidi wenzie kete. Kiuhalisia Bilionea wa mchongo akikaza hana deni lolote kwa maponjoro, japo kayatimba nae kukutana na ponjoro wa kiswahili.
 
Mkuu acha story za vijiweni jamaa katoa hadi bill of lading feki huyo ni mwizi jamaa wamefuatilia hadi china hajaagiza chochote arudishe pesa hakuna namna

Hizo ni speculation za hao makanjibai ,yaani B/L ndiyo iliyowaaminisha kwamba wametapeliwa? Kuna kubuy time kwenye bizness.
 
Back
Top Bottom