tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Walitaka used truck sio brandnewMbona wapo Gf Trucks etc hawa jamaa watakuwa walikuwa na lao jambo si bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walitaka used truck sio brandnewMbona wapo Gf Trucks etc hawa jamaa watakuwa walikuwa na lao jambo si bure
Hao madalili ndio matapeli,hicho kiyard chao kimekaa kama banda la shisha...gari nunua yard ulipe upewe chuma chakoKila siku humu tunawashauri watu na kuwahasa agizeni ama nunueni magari ya aina yoyote madogo hadi makubwa kupitia Dotto magari na Issa Tambuu motors lakini hamsikii. Acheni mpigwe tu hamna namna.
Anayedai pesa ndio anatakiwa aende mahakamani, ili aweze kulipwa; hii kutumia nguvu inatafsiri vitu tofauti
Mimi mwenyewe ni ngumu sana kumuamini mtu mweusi hata nikienda huko nje sipendi kudeal na mtu mweusi ni kama tuna laana yani tunawaza kuharibiana tu maishaDeni halilipwi kirahisi sababu kila mtu anavutia kwake
Waende mahakamani
Nakwambia kitu ambacho kitakusaidia mtu mweusi huwaga haaminiwi hata kama yeye ndo yuko sahii
Hahaha. Dotto anakuambia ukija na fundi wako kukagua kabla ya kununua anakufukuza. Kwasababu magari ni ya kuaminika na uhakika huna haja ya kushuku. Na Issa ni mtu wa sala tano muaminifu very humble guy. Haki ya nani nitamuungisha Issa hii likizo ya mwezi wa 4 nakuja bongo.Hao madalili ndio matapeli,hicho kiyard chao kimekaa kama banda la shisha...gari nunua yard ulipe upewe chuma chako
Issa ameboresha ofisi sasa hivi. Bonge la ofisi. Jamaa simple alijiachia sana hadi wabongo akaanza kusingizia hela zake za uchawi. Jamaa ilimuuma sana sasa hivi akaamua tu kuwanyamazisha anakupigia kaunda Jeans Nike na Adidas rubber na anatembelea V8 na range. Wabongo bana yani jamaa aliamua tu kuwa simple humble. Mbona mark Zuckerberg hawasemi mali zake za uchawi wakati wanavaaga vi tshet uchwara? Issa Tambuu is a very humble gentleman halafu 33 years. salesman wake anataka kumjibu mwijaku kwa kujenga ghorofa kali.Hao madalili ndio matapeli,hicho kiyard chao kimekaa kama banda la shisha...gari nunua yard ulipe upewe chuma chako
Ndio maana walipaita huku, 'dark continent'Mimi mwenyewe ni ngumu sana kumuamini mtu mweusi hata nikienda huko nje sipendi kudeal na mtu mweusi ni kama tuna laana yani tunawaza kuharibiana tu maisha
Promota wa issa tambuuIssa ameboresha ofisi sasa hivi. Bonge la ofisi. Jamaa simple alijiachia sana hadi wabongo akaanza kusingizia hela zake za uchawi. Jamaa ilimuuma sana sasa hivi akaamua tu kuwanyamazisha anakupigia kaunda Jeans Nike na Adidas rubber na anatembelea V8 na range. Wabongo bana yani jamaa aliamua tu kuwa simple humble. Mbona mark Zuckerberg hawasemi mali zake za uchawi wakati wanavaaga vi tshet uchwara? Issa Tambuu is a very humble gentleman halafu 33 years. salesman wake anataka kumjibu mwijaku kwa kujenga ghorofa kali.
Kizazi cha machawa mmekutana. Unapata wapi muda wa kujadili wanaume hivi? Sisi wanaume tupo busy sana nyie madogo wa siku hizi mnawezaje kukaa na kuelezeana hivi?Issa ameboresha ofisi sasa hivi. Bonge la ofisi. Jamaa simple alijiachia sana hadi wabongo akaanza kusingizia hela zake za uchawi. Jamaa ilimuuma sana sasa hivi akaamua tu kuwanyamazisha anakupigia kaunda Jeans Nike na Adidas rubber na anatembelea V8 na range. Wabongo bana yani jamaa aliamua tu kuwa simple humble. Mbona mark Zuckerberg hawasemi mali zake za uchawi wakati wanavaaga vi tshet uchwara? Issa Tambuu is a very humble gentleman halafu 33 years. salesman wake anataka kumjibu mwijaku kwa kujenga ghorofa kali.
Chawa.Promota wa issa tambuu
PromaxChawa.
😅😅Sisi wagalatia tukubali huyu Samwel ni tapeli. Hajaonewa kabisa huyu Kobaaz yuko sahihi na mkweli.
adriz Accumen Mo hydroxo
Baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu kwa jina la Bilionea Shami kudai kuwa ametishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa Polisi, amejibiwa na waliojitambulisha kuwa ni wahusika aliofanya nao biashara wakimtaka alipe fedha alizopewa na sio kulalamika mitandaoni.
Wasikilize mwenyewe hapa
Dotto Magari huyuhuyu mjingamjinga asiyejua hata kusoma? Hivi mtu upo serious unataka kuagiza magari ya pesa kuanzia 500+ (kama hao jamaa) utaenda kukaa mezani na Dotto?Kila siku humu tunawashauri watu na kuwahasa agizeni ama nunueni magari ya aina yoyote madogo hadi makubwa kupitia Dotto magari na Issa Tambuu motors lakini hamsikii. Acheni mpigwe tu hamna namna.
Hao jamaa pia wanauza used trucksWalitaka used truck sio brandnew
Kwa ufupi mteja na muuzaji wote wamekutana watu wa magumashi.Anaongea sana hii sio madai anajua kajichanganya. Hata mimi siwezi kuagiza gari la 10m kienyeji hivyo.
Dotto Magari huyuhuyu mjingamjinga asiyejua hata kusoma? Hivi mtu upo serious unataka kuagiza magari ya pesa kuanzia 500+ (kama hao jamaa) utaenda kukaa mezani na Dotto?
😂
Kwa wanaonjuwa shami .mhh 😄
Ova
Mkuu acha story za vijiweni jamaa katoa hadi bill of lading feki huyo ni mwizi jamaa wamefuatilia hadi china hajaagiza chochote arudishe pesa hakuna namna