Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

Jamaa ana utapeli wa kizamani sana. Kaingia cha kike asubiri kupigwa mbupu ya pilipili ya Kanjibhai.

Na anguko la huyu Bilionea Feki ni kuweka battle na polisi tena polisi mkuu kabisa wa mkoa. Matapeli wenzie huwa wanacheza dili na mapolisi.
Sasa inaonekana hapa Kanjibhai wameongea vyema na mapolisi.
Bilionea wa kubumba ataenda kufukuliwa mpaka visivyohusiana na hii kesi.
 
Bilionea ni tapeli tu hilo halina mjadala

Kwa maelezo hayo na muda waliompatia hela yeye mambo ni mawili arudishe hela au awape magari mambo ya anatishiwa mara boda hata mto wami aache hizo pigo eti bilionea milioni mia inamkimbiza mjini?
 
Muhindi wa kwanza
kupigwa kama ngoma
We unamtetea tapeli mwenzio? Mtu akulipe hela halafu usitekeleze wajibu wako uanze kumuita ana wenge! Hamnaga kitu kama hicho...
 
Kwa hiyo anajisifia anaelewa wakati kauziwa mbuzi kwenye gunia
Kuna watu wanatapeliwa kifala kweli
Unampaje 100m kwa maneno tu
Leta magari nikupe hela yako simple
Mara magari used mara mapya yaani kawavuruga haswa
Bei ya China na Bongo bei moja na machale hayakuchezi kabisa unaingia king 🤴
 
Billionea kashanyea kambi, amepewa hela 6 months ago we unasema week 1! Kama alishaagiza hizo gari ziko wapi sasa???
 
Magari yameagizwa tarehe 8 Kabla jamaa hawajaenda wameenda tarehe 12 na wakaanza kuingizia pesa siku hiyo kumbuka aliwaambia gari zipo njiani Kabla hata hawajaenda sikiliza vizuri
 
Aisee:Huyo jamaa ni tapeli
 
Unafanya thorough due diligence baada ya kulipa pesa na kisha kuona dalili ya kutapeliwa wakati ilitakiwa uifanye kabla ya kumlipa chochote.
Hapo sasa
Eti billionaire halafu mwisho eti ndio wanauliza na kuambiwa kuwa ni Dalali
Kweli mkuu kwanini wasipeleleze kwanza kabla ya kumpa dalali hela?

Hao wamepigwa kiboya
 
Kanjibhai alitaka mteremko, tapeli boya na akataka kumteremsha.

Huyo tapeli nae ni fala, angecheza karata zake vizuri hasa kwenye documentation angekunja Mil. 500 yote akasepa nayo, ila ndio hivyo tapeli boya kama Kanjibhai tu.
 
Shami ni Mangi?
 
Kama wanajielewa walikwendaje kumpa kazi ya kuwanunulia Magari yule bilionea wa mchongo
Mkuu Ras, wakati mwingine hata jina la mtu linaweza kukupa hint, mwenyewe yukoje. Hivi kweli mtu anayejiita bilionea, si kuna ukakasi hapo? Mbailionea wa kweli huwa hawataki kujulikana. Ni sawa na mtu anayejigamba ni msomi kama huyu waziri wetu wa fedha, siku zote huwa ni msomi feki.
 
Hapo sasa
Eti billionaire halafu mwisho eti ndio wanauliza na kuambiwa kuwa ni Dalali
Kweli mkuu kwanini wasipeleleze kwanza kabla ya kumpa dalali hela?

Hao wamepigwa kiboya
Ninavyohisi mimi, hawa jamaa walijachunguza baadae (baada ya kulipa)wakakuta pengine bei ya wao kuagiza moja kwa moja ni ndogo, ikilinganishwa na bei waliyoambiwa na huyu ''bilionea''. Hii ikafanya waghairi na kutaka waagize wenyewe, hivyo waka-cancel order.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…