Baada ya Bocco kusema na Mungu wake alipopitia nyakati ngumu zilizotokana na kunyang'anywa namba na Phiri, maombi yalijibiwa na wote tu mashahidi wa nini kiliendelea. Phiri sasa anamuogopa na kumuheshimu Bocco kama ukoma.
Sasa juzi hapa Mwenda amempeleka tena Bocco kwa wakulungwa huko madizini Morogoro ili Baleke ashughulikiwe ipaswavyo, taarifa zinasema wamepewa wiki mbili matokeo yataonekana, na bocco safari hii amesema anataka huyu mkongoman apate jeraha la nyonga ambalo ni vigumu kupona na huchukua muda mrefu sana
Ni swala la muda tuu Baleke atajeruhika nyonga na kukaa nje ya dimba kwa muda mrefu
Katika safari hiyo pia, mwenda aliulizia feedback ya kazi aliyompa mganga kumshughulikia Kapombe na kuambiwa mambo yako sawa, atakua anaumia kila anapoingia uwanjana
Wasalaam