Baada ya Bocco kumsemea Phiri kwa Mungu sasa zamu ya Baleke

Kwani amegoma kustaafu si nasikia amekuwa Kocha
 
Babu Onyango asichezeshwe, bila ya hivyo, tujitayarishe tu na kuvunja viti na hizo kejeli na maudhi ya mashabiki wa UTO.
Na nimeona jana msemaji wetu kwenye ile Conference akijibu maswali ya waandishi wa habari as if tumeshakata tamaa na ubingwa.
Kwa muda sasa nimekuwa napendekeza Outtara ila hata Kennedy nadhani ni afadhali zaidi.

Naona pia Kapombe ahamishwe position ili yeye na Mwenda wawe wanaanza pamoja. Kapombe anaweza cheza nafasi nyingi kwa ufanisi kuziba pale panapoonekana pamepelea. Sina uhakika kwa nafasi ya Onyango ila kama kiungo anaweza kuisaidia sana timu.
 
Mbona Umeandika Upuuzi sana.

Akili yako inaonekana ni ndogo sana.

Mnaishalilisha Jamii forum.

Unaushaidi??????
Unapicha wakiwa kwa MGANGA????
Unasauti zao??????


FICHA UJINGA
We mwehu nini?

Kwa hiyo akili yako imeishia hapo? Kwamba picha na sauti ndo ushahidi pekee?
 
Huwezi tenganisha UCHAWI na ROHO MBAYA...

Kuna mdau hapa amewai kusema John Boko amewai cheza mpira ligi kuu na Baba Ake mzazi🤓

Itoshe kusema Bocco apumzike umri umemtupa...

We need football revolution 🇹🇿🇹🇿
 
Huwezi tenganisha UCHAWI na ROHO MBAYA...

Kuna mdau hapa amewai kusema John Boko amewai cheza mpira ligi kuu na Baba Ake mzazi🤓

Itoshe kusema Bocco apumzike umri umemtupa...

We need football revolution 🇹🇿🇹🇿
Wasipoangalia Bocco atawamaliza .. Ipo siku atawaloga mpaka makocha
 
chezaji la hovyo linapiga vichwa wenzie tena kama hayo yapo mengi hapo simba
 
Luc Eymael njoo uwachukue watu wako wanatubwekea mitaani hovyo watu hatulali
 
We ndio mchawi kuua morali ya wachezaji.
Phiri mlimkamia baada ya ninyi utopolo kumwona anakuwa tishio.Mliwatuma vibaraka wenu wamuumize

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
inawezekana jamaa kaandika kiutani, lkn simba na yanga kumekuwepo na hizi tuhuma muda mrefu sana, wanarogana sana!

nadhan tatizo ni viongozi, kwa sababu wangekua makini mchezaji yeyote anaeonesha dalili za ulozi inatakiwa kuvunjiwa mkataba aondoke,
Viongozi gani unawasemea hao simba wenyewe si waliwasha moto katikati ya uwanja pale afrika kusini
 
Ama kweli habari za tajiri muulize masikini.
 
inawezekana jamaa kaandika kiutani, lkn simba na yanga kumekuwepo na hizi tuhuma muda mrefu sana, wanarogana sana!

nadhan tatizo ni viongozi, kwa sababu wangekua makini mchezaji yeyote anaeonesha dalili za ulozi inatakiwa kuvunjiwa mkataba aondoke,

Fei hataki kusema tu, ila moja ya sababu ni mambo ya ulozi anayoaambiwa afanye huko Yanga wakiwa wanajiandaa na mechi hasa kama hii ya trh 16 April

Subiria yafike shingoni atasema tu. Akaamua aondoke zake lkn yanga wanamkamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…