Nmeuliza tu
Ntumie Niku.promote
Kwaio mi nanuka mdomo?Unapopiga mswaki, hakikisha unasugua ulimi pia sio meno tu.
Halafu lile povu usiliteme haraka, lizungushe mdomoni/sukutua hata kwa dk 3 hivi.(hii ni hata kwako wewe unaesoma hapa)
Mdomo wako wa Chini mboni unatoa ute mzito km bamia na jamaa yako anaupiga denda hivyo hivyo na hasemi kituWewe kuweza kupiga denda mdomo unaotoa ute mzito kama bamia?
Hapana mkuu, nakupa mbinu za kivita alizonifundisha mganga wangu.Kwaio mi nanuka mdomo?