Baada ya busu tukaachana

Baada ya busu tukaachana

Simple! PK inakuhusu jaribu uje kunishukuru baadae.
 
Kijana nataka nikupige maswali machache!
1.umri wako?
2. Unasoma?
3.mkoa na wilaya gani?
4.unaweza kunitumia namba yako? Nitumie

Jibu maswali yote kwa usahihi.
 
Unapopiga mswaki, hakikisha unasugua ulimi pia sio meno tu.

Halafu lile povu usiliteme haraka, lizungushe mdomoni/sukutua hata kwa dk 3 hivi.(hii ni hata kwako wewe unaesoma hapa)
Kwaio mi nanuka mdomo?
 
Back
Top Bottom