Baada ya CCM kuondolewa madarakani Watetezi wake mitandaoni watakimbia na kutoweka ama watajificha

Bila tume huru hupat haya

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu heshima kwa maeazo yako lakini kumbuka katunga ya UKAWA kila chama katika umoja ule kilivuna wawakilishi like never before.

Tuwekeze kwenye umoja tume huru hawatatoa kama zawadi. Itapiganiwa wakati namba za wawakilishi zinasoma. Itutakuwa tunasonga mbele.
 
Watakuwepo,unadhani wanaitee ccm kwa kuwa inafaida kwao au watoto au nchi yao,ni ujinga tu.
 
sasa wapeni uenyekiti mwambe na sumaye huko ccm,tuone hata kama watadhubutu kutangaza tu nia kugombea wenyekiti wa chama taifa
Ukitaka uone wakigombea tena kwa mamia , Mwenyekiti wa CCM ajaribu kuondoa ukomo wa miaka 10 ili awe mwenyekiti wa maisha kama Mbowe alivyofanya kuunga mkono juhudi za Lipumba,Cheyo,Mrema na wengine waliojibinafshia vyama .
Hapo Ndio utajua kuwa CCM ni taasisi sio chama cha mtu au Sacco's au NGO s binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawatia aibu bure wazazi wako , kama ccm ni Taasisi imekuwaje Magufuli anawaburuza kwa kusigina katiba ya ccm kwa kuwateuwa aliowanunua kutoka chadema bila hata kura ya maoni , na kuwahakikishia akina Mwambe kugombea 2020 bila upinzani ndani ya ccm ?
 
Upinzani hauwezi kuitoa CCM madarakani, kama vile ambavyo CCM haiwezi kuua upinzani Tanzania
 
CCM wamewapa Tenda ya mabilioni Le mutuz na cyprian Musiba kuajiri watu kwa ajili ya kuitetea CCM kote mitandaoni, wamelipwa pesa nyingi sana ingawa Bashite na wengine wana 10% zao humo humo, cha ajabu na kibaya zaidi Le mutuz kazitafuna pesa zote kwenye michepuko na vitoto vidogo zilipokwisha akaenda kuokoteza vilaza mbumbumbu wajinga wajinga wanawakaririsha ujinga wao wote yeye na cyprian Musiba ndiyo maana Utetezi wa CCM mitandaoni unafanana wote, Lugha ni lle ile mara mabeberu mara hivi utetezi wa kishamba shamba sana, ni Aibu kwa chama kikubwa kama CCM kuishi kwa kutegemea Akili za kubwa jinga Le mutuz na mbwekaji wa CCM cyprian Musiba.
 
Kutwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani sasa kama CCM mnajiamini ni chama pendwa iweje kutwa kuwahujumu kuwadhoofisha wapinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…