Baada ya CCM kuzidiwa: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro atuhumiwa kumnyanyasa Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Daniel Shilla. Ameagiza akamatwe na Jeshi la Polisi

Kila mwaka wa uchaguzi wimbo wenu Ni huu usio hit na CCM inashinda huwa nikisoma vijicomment vyenu vya kuomba huruma kwa raia huwa Sina mbavu kwa kucheka[emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Yule Mkuu Wa mkoa Wa Moro uwezo wake mdogo sana, nimemsikiliza haeleweki kabisa.kiujumla Ni uonevu tu
 
Kutafuta wadhamini kunahitaji hotuba? Nilimwona shila nikashangaa hata Maguifuli alipokuwa akitafuta wadhamini hatukumuona popote akihutubia, Tundu Lisu , Nyalandu nk pia wanatafuta wadhamini hakuna popote kusimamisha watu kuhutubia

Wabunge kibao chadema wamechukua fomu kutafuta wadhamini wote wanazunguka nazo fomi zao kimya kimya huoni wakisimama popote kuhutubia .Wanajaziwa wanaondoka

Shila haelewi zoezi la kujaza fomu kaparamia siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…