Baada ya CCM kuzidiwa: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro atuhumiwa kumnyanyasa Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Daniel Shilla. Ameagiza akamatwe na Jeshi la Polisi

Baada ya CCM kuzidiwa: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro atuhumiwa kumnyanyasa Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Daniel Shilla. Ameagiza akamatwe na Jeshi la Polisi

Kazi kweli kweli
Hahaha wenzake wanapojua kuna ziara ya mtukufu rais, shule zote zinafungwa, wanafunzi wanaamriwa kuhudhuria wakiwa bila uniform za shule.
Yeye alitaka wananchi wahudhurue, watatoka wapi?!
 
Back
Top Bottom