Baada ya CCM kuzidiwa: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro atuhumiwa kumnyanyasa Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Daniel Shilla. Ameagiza akamatwe na Jeshi la Polisi

Chadema mwelezeni ethics za kuchukua fomu na kutafuta wadhamini sio zoezi la kelele iwe YouTube Wala njiani.Unaenda walipo wadhamini wanakujazia unaondoka aige watia Nia wenzie ndani ya Chadema wa Uraisi, ubunge na udiwani naona yeye haelewi kitu
 
Hebu fuatilia tuhuma zinazotungwa na RC kabla hujaropoka
 
Kijana kaongea ukweli asilimia 99.9 lakini kakosea sehemu moja tu kujua katika haya magufuli ana husika kwa asilimia 100 .
Ebu rudia hata mara tatu kumsikiliza, hajasema kuwa Magufuli anahusika alichokisema ni kwamba viongozi waliopo yaani huyu mkuu wa mkoa wanamchafua rais kwa kuwaonea watu. Kwasababu wanapofanya hivyo mara nyingi wanasema maelekezo yametoka juu. Maelekezo yanakuwa yametoka juu wapi?? Mbinguni??
 
Jamaa mbishi dah
Lakini watu waelewe jamaa ni star kushangiliwa ni kawaida

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…