chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Luhaga Mpina alikuwa na mpango kuhamia chadema akagombee Ubunge huko. Hata hivyo kitendo cha chadema kugomea uchaguzi kimemvuruga.
Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa amerudisha majeshi CCM na kuanza kujichekesha kwa viongozi akidhani kwamba usaliti wake unaweza kusahaulika