Baada ya Chakula Cha Leo Usiku,tutaesabu siku Chache Fei Toto atakua huru

Baada ya Chakula Cha Leo Usiku,tutaesabu siku Chache Fei Toto atakua huru

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Leo Eng magumashi, eng uchwara eng miyeyusho anaenda kukalipiwa, Kwanini unamnyanyasa dogo, hawataki unamganganiaje, kwani ni kiasi gani muache acheze masebene anakokutaka,.

Sasa apinge na ashupaze shingo, amuulize malinzi alifanzwa kitu gani..
20230604_065130.jpg

haipendezi timu kubwa kama hii, mnakuwa na ugomvi na katoto” - Rais Samia aagiza Yanga wamalizane na kiungo wao, Feisal Salum.

Ni hafla ya Rais Samia kuwapongeza Yanga kwa kufika fainali ya Kombe la Shirikisho, Afrika.

Tuko mbashara #AzamSports1HD
 
TFF walishamaliza kazi ,swala la Amijei lipo kisheria! Asubiri NDOIGE KANTANGAZE kutoka CAS.
 
Leo Eng magumashi, eng uchwara eng miyeyusho anaenda kukalipiwa, Kwanini unamnyanyasa dogo, hawataki unamganganiaje, kwani ni kiasi gani muache acheze masebene anakokutaka,.

Sasa apinge na ashupaze shingo, amuulize malinzi alifanzwa kitu gani..View attachment 2647053
endelea kusubiria titanic hapo airport
 
Mtoa mada kama uliota vile! Kama hii case haijafunguliwa CAS bado basi naamini hili swala limekishwamalizwa...
 
Back
Top Bottom