Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Leo Eng magumashi, eng uchwara eng miyeyusho anaenda kukalipiwa, Kwanini unamnyanyasa dogo, hawataki unamganganiaje, kwani ni kiasi gani muache acheze masebene anakokutaka,.
Sasa apinge na ashupaze shingo, amuulize malinzi alifanzwa kitu gani..
haipendezi timu kubwa kama hii, mnakuwa na ugomvi na katoto” - Rais Samia aagiza Yanga wamalizane na kiungo wao, Feisal Salum.
Ni hafla ya Rais Samia kuwapongeza Yanga kwa kufika fainali ya Kombe la Shirikisho, Afrika.
Tuko mbashara #AzamSports1HD