endelea kusubiria titanic hapo airportLeo Eng magumashi, eng uchwara eng miyeyusho anaenda kukalipiwa, Kwanini unamnyanyasa dogo, hawataki unamganganiaje, kwani ni kiasi gani muache acheze masebene anakokutaka,.
Sasa apinge na ashupaze shingo, amuulize malinzi alifanzwa kitu gani..View attachment 2647053
mmsenger wewe..Kua mke wa Mod akupe mamlaka ya kua unazifuta
pole sana mdogoo, kirahisi tu wanamalizana?Wewe utakua dogo, nchii tunaijua sisi wakubwa zako, Kaa kwa kutulia,
Utasikia Yanga yamalizana na Fei toto
Useng vp sasa na kombe ndio hilonyuzi zingine usengeee mtupu.. Na mod watakaa wanaangalia tu
"Kamalizaneni na Fei Toto. Haipendezi"nyuzi zingine usengeee mtupu.. Na mod watakaa wanaangalia tu
Kila mtu ana haki ya kuanzisha uzi,acha ushamba mkuu.nyuzi zingine usengeee mtupu.. Na mod watakaa wanaangalia tu
Mmmmh mdomo komaa"Kamalizaneni na Fei Toto. Haipendezi"
Raisi JMT
Ushamba ni kuanzisha uzi za kisenger kisengerKila mtu ana haki ya kuanzisha uzi,acha ushamba mkuu.
Imeishaaaa hiyooo Fei Toto aende atakakoo....awe huruuuu"Kamalizaneni na Fei Toto. Haipendezi"
Raisi JMT