Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakimbia mechi kweli kwani ni uongo?Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Mnashindwa kufuata kanuni mkijua italeta shida halafu mnakimbilia kusema mwingine ndiyo kakimbia mechi.
Mmekimbia kwani uongo?Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Mnashindwa kufuata kanuni mkijua italeta shida halafu mnakimbilia kusema mwingine ndiyo kakimbia mechi.
Sheria na kanuni zinawekwa kwa sababu maalumu. Hauwezi tu ukaamka ukazivunja kwa kisingizio cha eti hizo sheria au kanuni siyo muhimu. Wenye akili hawana mawazo kama yako.Mmekimbia kwani uongo?
We unafikiri Simba ingekuwa na kiwango cha Barcelona au Real Madrid ingekimbia kwa kutafuta visababu visivyo na kichwa wala miguu?
Maandailizi ya wiki nzima hayajatosha na kujiandaa?
Au kutafuta sababu za kitoto tu?
Kwahiyo kanuni ya kushindwa kufanya mazoezi siku Moja kabla ya mechi ndio iifanye timu kubwa kama Simba kuamua kutocheza?Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Mnashindwa kufuata kanuni mkijua italeta shida halafu mnakimbilia kusema mwingine ndiyo kakimbia mechi.
Ndiyo. Kama wewe unaamua kuvunja kanuni kihuni, na mimi nina haki ya kuchukua uamuzi wowote ninaoona ni sahihi kwangu.Kwahiyo kanuni ya kushindwa kufanya mazoezi siku Moja kabla ya mechi ndio iifanye timu kubwa kama Simba kuamua kutocheza?
Embu fikiri tena aisee! Ramli ilishakataa tu😄😄
Ujinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Uwezo Mdogo sana kiakili wa kufikiri na kujenga hoja.Wangekula 9 maana kila wakipima hawaoni pakutokea wamezidiwa kila eneo….ila wamejifedheesha sana simba kakimbia ndala [emoji23][emoji23][emoji23]
Nendeni mkajifiche waoga wakubwa nyinyi.Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Mnashindwa kufuata kanuni mkijua italeta shida halafu mnakimbilia kusema mwingine ndiyo kakimbia mechi.
Matendo yenu yanaashiria jinsi mlivyo timu ndogo saaana isiyojielewa. Ndiyo maana mnadai watani wenu wanaitwa makolo walio ligi za mitaani. Nyie ni wahuni tu kama wahuni wengine.Nendeni mkajifiche waoga wakubwa nyinyi.
Leteni team uwanjani mkuu, munachokifanya Fadlu wala hajaridhia na niabu ya PHD.Ujinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Uwezo Mdogo sana kiakili wa kufikiri na kujenga hoja.
Huna hoja ndo maana unakumbilia kwenye matusi. Mjinga MmojaUjinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Uwezo Mdogo sana kiakili wa kufikiri na kujenga hoja.
Sababu yenu ya kususia hii mechi haina mashiko hata kidogo. Na kwa hiki kitendo chenu, hakika Watanzania wenye akili timamu, watawadharau milele.Matendo yenu yanaashiria jinsi mlivyo timu ndogo saaana isiyojielewa. Ndiyo maana mnadai watani wenu wanaitwa makolo walio ligi za mitaani. Nyie ni wahuni tu kama wahuni wengine.
Msidharaulike nyie wenye mambo ya kihuni idharaulike Simba yenye kufuata taratibu na miongozo halali ya ligi?Sababu yenu ya kususia hii mechi haina mashiko hata kidogo. Na kwa hiki kitendo chenu, hakika Watanzania wenye akili timamu, watawadharau milele.
Mbuzi nao mlitaka waingie uwanjani juu ya niniSheria na kanuni zinawekwa kwa sababu maalumu. Hauwezi tu ukaamka ukazivunja kwa kisingizio cha eti hizo sheria au kanuni siyo muhimu. Wenye akili hawana mawazo kama yako.
Uhuni ni pamoja na kujitungia taarifa za kubuni zisizo na uhalisia. Mara mbuzi, mara wazee, mara kufika uwanjani saa 6 ili mradi tu kutafuta cha kushika. Kubalini tu kwamba nyie ni wahuni, mbona nayo ni sifa?Mbuzi nao mlitaka waingie uwanjani juu ya nini