Baada ya Chama na Mkude kuwapenyezea za ndaaani

Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Mnashindwa kufuata kanuni mkijua italeta shida halafu mnakimbilia kusema mwingine ndiyo kakimbia mechi.
Mmekimbia kwani uongo?

We unafikiri Simba ingekuwa na kiwango cha Barcelona au Real Madrid ingekimbia kwa kutafuta visababu visivyo na kichwa wala miguu?

Maandailizi ya wiki nzima hayajatosha na kujiandaa?

Au kutafuta sababu za kitoto tu?
 
Sheria na kanuni zinawekwa kwa sababu maalumu. Hauwezi tu ukaamka ukazivunja kwa kisingizio cha eti hizo sheria au kanuni siyo muhimu. Wenye akili hawana mawazo kama yako.
 
Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Mnashindwa kufuata kanuni mkijua italeta shida halafu mnakimbilia kusema mwingine ndiyo kakimbia mechi.
Kwahiyo kanuni ya kushindwa kufanya mazoezi siku Moja kabla ya mechi ndio iifanye timu kubwa kama Simba kuamua kutocheza?

Embu fikiri tena aisee! Ramli ilishakataa tu😄😄
 
Ndiyo. Kama wewe unaamua kuvunja kanuni kihuni, na mimi nina haki ya kuchukua uamuzi wowote ninaoona ni sahihi kwangu.
 
Ujinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.
 
Wangekula 9 maana kila wakipima hawaoni pakutokea wamezidiwa kila eneo….ila wamejifedheesha sana simba kakimbia ndala [emoji23][emoji23][emoji23]
Ujinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Uwezo Mdogo sana kiakili wa kufikiri na kujenga hoja.
 
Nendeni mkajifiche waoga wakubwa nyinyi.
Matendo yenu yanaashiria jinsi mlivyo timu ndogo saaana isiyojielewa. Ndiyo maana mnadai watani wenu wanaitwa makolo walio ligi za mitaani. Nyie ni wahuni tu kama wahuni wengine.
 
Sababu yenu ya kususia hii mechi haina mashiko hata kidogo. Na kwa hiki kitendo chenu, hakika Watanzania wenye akili timamu, watawadharau milele.
 
Sheria na kanuni zinawekwa kwa sababu maalumu. Hauwezi tu ukaamka ukazivunja kwa kisingizio cha eti hizo sheria au kanuni siyo muhimu. Wenye akili hawana mawazo kama yako.
Mbuzi nao mlitaka waingie uwanjani juu ya nini
 
Uhuni ni pamoja na kujitungia taarifa za kubuni zisizo na uhalisia. Mara mbuzi, mara wazee, mara kufika uwanjani saa 6 ili mradi tu kutafuta cha kushika. Kubalini tu kwamba nyie ni wahuni, mbona nayo ni sifa?
 
Back
Top Bottom