kishingo hajafukuzwa kaka morroco anapata mshahara mara tatu aliokuwa anapata simba na ni karibu na ubelgiji hata family yake kumfata ni rahisi na league ya morroco ni kubwa na tajiri kuliko yetu alitaka kuondoka mwenyewe,hayo mengine sikubishii lakini tangu lini kocha bongo akasema namtaka mchezaji fulani kalatewa?labda wa kibongo hawa wa milioni 30 kuna kipindi uchebe alimtaka Justin shonga wakaambiwa bei milioni 800 story iliishia hapohapo
Bongo kocha anasema nataka kiungo,beki,mshambuliaji analetewa yoyote ndiyo maana wanakuja ma free agents au cheap wa kutoka burundi ,kenya , congo zimbabwe zambia