ngulukizi
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 619
- 1,749
Tunatofautiana, kwahiyo ungekua wewe ungeanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunatofautiana, kwahiyo ungekua wewe ungeanza
Kwa ulivyoanza tu imeonyesha kabisa unajifanya mjuzi kwa kuelekeza lawama moja kwa moja kuwa kishingo kafukuzwa hii imeonyesha ni mtu wa aina gani ulivyoTunatofautiana, kwahiyo ungekua wewe ungeanza ubishi? Siyo kueleweshana?
anachukua dollar 30,000 halafu utakataaje kufundisha morocco ubaki bongo ambapo kuna viwanja vya ajabuajabu?ali post kwenye insta yake kwamba mo na barbra walitumia usiku ule wote kumbebembeleza abaki ila hata familia yake ilitaka ahamie morroco pale si karibu na ulaya?Dah kama kaondoka mwenyewe hapo sasa ni mtihani. Ila hata hivyo sioni kama simba ilihitaji hawa watu 2.
Anhaa haya. Ila taarifa ya mwanzo kabisa juu ya kuondoka kwa kocha iliyokuja jf ilisema simba ndiyo waliamua mkataba ufe. Kama baadaye ilidhihirika haiko hivyo mimi sikujua hilo swala.Kwa ulivyoanza tu imeonyesha kabisa unajifanya mjuzi kwa kuelekeza lawama moja kwa moja kuwa kishingo kafukuzwa hii imeonyesha ni mtu wa aina gani ulivyo
Ni kama Saido alivyokataa na ss ana flop. Juzi almanusra Kakolanya amuumbue kwenye p shootout.
Kuna tatizo la kupigana misumari hilo usisahau piatusubiri tuone ndiyo maana wamempa miezi sita haya mambo sa ingine ni gamble sana, sarpong alikuwa tishio rwanda, balinya, mugalu,serunkuma,mavugo walikuja hapa na rekodi za kutisha ila wakati mwingine inakuwa chenga unayemtrajia anakuangusha usiyetarajia inakua maajabu kama okwi ilivyokuwa
Wewe mpira haujui kashabikie rede tu. Kwahiyo Kakolanya angedaka penati ndio ingekuwa kuumbuka kwa Saidioo kuanza ku flop?. Kwahiyo Kagere na Onyango wameflop kwavile wamekosa penati? Hata Mesi na Ronaldo hawawezi kutamba kila siku. Kuna siku wanakuwa na siku mbaya. Tuje bongo tena. Chama na Luis kuna siku game zinawakataga.Ni kama Saido alivyokataa na ss ana flop. Juzi almanusra Kakolanya amuumbue kwenye p shootout.
Nashangaa bwalya na mugalu walikuja kichwakichwa ila hao wanigeria balaaa ingawa kwasi wa ghana naye misumari ilikolea akapotea au balinya alichofanyiwa yangaKuna tatizo la kupigana misumari hilo usisahau pia
shida ya simba ukitoa luis na dilunga kidogo ni kwamba wakiingia kwenye 18 ya adui speed siyo kubwa sasa unamuachaje chikwende,hata kabla ya mechi ya simba yeye ndiye aliwavusha platnum kwa ud songo alishawahi kuwagonga pirates orlando goal mbili na yuko team ya taifa zimbabweChikwende kutufunga goli moja tu tumemsajili
Mugalu alianza na balaa sana pale Simba, kila akiingia sub anatupia tu kila akiingia nyavu mpaka mashabiki wakatamani apewe dakika nyingi. Sasa hivi anaonekana moja ya magarasa dah mpira wa bongo aisee mchezaji usipojipanga hauuwezi kuucheza. Unaona princess dube wa Azam saivi kimya.Nashangaa bwalya na mugalu walikuja kichwakichwa ila hao wanigeria balaaa ingawa kwasi wa ghana naye misumari ilikolea akapotea au balinya alichofanyiwa yanga
Anhaa haya. Ila taarifa ya mwanzo kabisa juu ya kuondoka kwa kocha iliyokuja jf ilisema simba ndiyo waliamua mkataba ufe. Kama baadaye ilidhihirika haiko hivyo mimi sikujua hilo swala.
kocha gani kafukuzwa? Kama ni Sven punguza mihemko Sven hakufukuzwaMpira wa bongo ulivyo wa kipuuzi.
Unafukuza kocha.
sasa unaokota info mitandaoni halafu unakuja kuvimbia watu humuAnhaa haya. Ila taarifa ya mwanzo kabisa juu ya kuondoka kwa kocha iliyokuja jf ilisema simba ndiyo waliamua mkataba ufe. Kama baadaye ilidhihirika haiko hivyo mimi sikujua hilo swala.
hawa mashabiki mandazi utadhani wanachangia hata mia kazi kupiga mikelele tu. wanajua bei ya hao wachezaji hatari?kishingo hajafukuzwa kaka morroco anapata mshahara mara tatu aliokuwa anapata simba na ni karibu na ubelgiji hata family yake kumfata ni rahisi na league ya morroco ni kubwa na tajiri kuliko yetu alitaka kuondoka mwenyewe,hayo mengine sikubishii lakini tangu lini kocha bongo akasema namtaka mchezaji fulani kalatewa?labda wa kibongo hawa wa milioni 30 kuna kipindi uchebe alimtaka Justin shonga wakaambiwa bei milioni 800 story iliishia hapohapo
Bongo kocha anasema nataka kiungo,beki,mshambuliaji analetewa yoyote ndiyo maana wanakuja ma free agents au cheap wa kutoka burundi ,kenya , congo zimbabwe zambia
Kwa YouTube / kwa Kumuangalia tu Uwanjani kwa Jicho la Kiufundi? Kosa Scouts wengi wa Kibongo wanadanganywa mno na hii YouTube Ndugu.Yupo vizur?
Unateseka ukiwa unacheza kibao kata weweChikwende kutufunga goli moja tu tumemsajili
Ni Morrison mwingine.takwimu zake siyo mbaya naangalia comments za wanigeria kwenye hiyo page wanasema ni striker mzuri,simba walitaka wamfanyie majaribio akakataa nahisi ndiyo maana kapewa mkataba wa miezi 6 alikaa muda bila team
shida ya simba ukitoa luis na dilunga kidogo ni kwamba wakiingia kwenye 18 ya adui speed siyo kubwa sasa unamuachaje chikwende,hata kabla ya mechi ya simba yeye ndiye aliwavusha platnum kwa ud songo alishawahi kuwagonga pirates orlando goal mbili na yuko team ya taifa zimbabwe
umesahau kuna wachezaji walionekana kwenye mapinduzi na sportspesa kama kina fei toto? unakumbuka samatta aliendaje tp mazembe?si ni ile mechi ya dar esalaam ya 3-2?cha ajabu nini sasa?tena mashabiki walimpigia kelele moise katumbi ikabidi amchukue ili kuwaridhisha mashabiki