Shida ya mpira wa mbongo Simba ukisjili wa Yanga mnajifanya mnajua kukosoa na Yanga ikisajili wa simba mnajifanya kukosoa.Mpira wa bongo ulivyo wa kipuuzi.
Unafukuza kocha. Kisha unasajili wachezaji, hawa wachezaji ni chaguo la Matola? Kama ndiyo ina maana alikua msaidizi huku hakiamini kikosi? Kikosi ambacho kinatengeneza chances nyingi kuliko hata Arsenal. Kikosi kama hicho kinahitaji nyongeza kweli?
Kwa uzoefu wangu ulionikimbiza kushabikia mpira wa bongo mimi naamini kocha alilazimishwa asajili hawa watu 2 ili watu wapige 10% akagoma alivyogoma akaonyeshwa mlango kisha haraka haraka wanasajili ili wapige 10% yao.
Akija kocha anayejielewa kikosi kile kile kilikua kinahitaji morali tu.
Maajabu yake utakuta mashabiki wanashangili ujio wa hawa wawili. De Beek alivyohitajika man u watu waliuliza atacheza wapi? Na hawa nao mashabiki wajiulize watacheza wapi?
Sasa simba ikiwa na Wachezaji wengi kuna shida gani?
Mashindano ni race kuna kuumia, kunakuhitaji kupumzika kwa Wachezaji. Acha mchezaji aje afanye kazi yake sio kujifanya tunakosoa kila kitu. Afu eti 10% ndo Yale Yale ya kuleta tuhuma bila ushahidi. Toeni na ushahidi ili kulisaidia soka la Tanzania na rushwa