njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
takwimu zake siyo mbaya naangalia comments za wanigeria kwenye hiyo page wanasema ni striker mzuri, simba walitaka wamfanyie majaribio akakataa nahisi ndiyo maana kapewa mkataba wa miezi 6 alikaa muda bila teamYupo vizur?
tunaenda pagumu kwenye makundi,ilanfay na ajibu inabidi waondoke tuWashambuliaji kibao
Nidhamu ya uogatunaenda pagumu kwenye makundi,ilanfay na ajibu inabidi waondoke tu
Yale yale ya Yikpe kukataa kufanya majaribio kumbe anajijua ni kitukotakwimu zake siyo mbaya naangalia comments za wanigeria kwenye hiyo page wanasema ni striker mzuri,simba walitaka wamfanyie majaribio akakataa nahisi ndiyo maana kapewa mkataba wa miezi 6 alikaa muda bila team
tusubiri tuone ndiyo maana wamempa miezi sita haya mambo sa ingine ni gamble sana, sarpong alikuwa tishio rwanda, balinya, mugalu,serunkuma,mavugo walikuja hapa na rekodi za kutisha ila wakati mwingine inakuwa chenga unayemtrajia anakuangusha usiyetarajia inakua maajabu kama okwi ilivyokuwaYale yale ya Yikpe kukataa kufanya majaribio kumbe anajijua ni kituko
Yikpe ni wa Yanga lakiniYale yale ya Yikpe kukataa kufanya majaribio kumbe anajijua ni kituko
kishingo hajafukuzwa kaka morroco anapata mshahara mara tatu aliokuwa anapata simba na ni karibu na ubelgiji hata family yake kumfata ni rahisi na league ya morroco ni kubwa na tajiri kuliko yetu alitaka kuondoka mwenyewe,hayo mengine sikubishii lakini tangu lini kocha bongo akasema namtaka mchezaji fulani kalatewa?labda wa kibongo hawa wa milioni 30 kuna kipindi uchebe alimtaka Justin shonga wakaambiwa bei milioni 800 story iliishia hapohapoMpira wa bongo ulivyo wa kipuuzi.
Unafukuza kocha. Kisha unasajili wachezaji, hawa wachezaji ni chaguo la Matola? Kama ndiyo ina maana alikua msaidizi huku hakiamini kikosi? Kikosi ambacho kinatengeneza chances nyingi kuliko hata Arsenal. Kikosi kama hicho kinahitaji nyongeza kweli?
Kwa uzoefu wangu ulionikimbiza kushabikia mpira wa bongo mimi naamini kocha alilazimishwa asajili hawa watu 2 ili watu wapige 10% akagoma alivyogoma akaonyeshwa mlango kisha haraka haraka wanasajili ili wapige 10% yao.
Akija kocha anayejielewa kikosi kile kile kilikua kinahitaji morali tu.
Maajabu yake utakuta mashabiki wanashangili ujio wa hawa wawili. De Beek alivyohitajika man u watu waliuliza atacheza wapi? Na hawa nao mashabiki wajiulize watacheza wapi?
Ni kama Saido alivyokataa na ss ana flop. Juzi almanusra Kakolanya amuumbue kwenye p shootout.Yale yale ya Yikpe kukataa kufanya majaribio kumbe anajijua ni kituko
Hata ukimuelezea yote hayo sidhani kama atakuelewa mana wabongo ni wajuaji kulikokishingo hajafukuzwa kaka morroco anapata mshahara mara tatu aliokuwa anapata simba na ni karibu na ubelgiji hata family yake kumfata ni rahisi na league ya morroco ni kubwa na tajiri kuliko yetu alitaka kuondoka mwenyewe,hayo mengine sikubishii lakini tangu lini kocha bongo akasema namtaka mchezaji fulani kalatewa?labda wa kibongo hawa wa milioni 30 kuna kipindi uchebe alimtaka Justin shonga wakaambiwa bei milioni 800 story iliishia hapohapo
Bongo kocha anasema nataka kiungo,beki,mshambuliaji analetewa yoyote ndiyo maana wanakuja ma free agents au cheap wa kutoka burundi ,kenya , congo zimbabwe zambia
Dah kama kaondoka mwenyewe hapo sasa ni mtihani. Ila hata hivyo sioni kama simba ilihitaji hawa watu 2.kishingo hajafukuzwa kaka morroco anapata mshahara mara tatu aliokuwa anapata simba na ni karibu na ubelgiji hata family yake kumfata ni rahisi na league ya morroco ni kubwa na tajiri kuliko yetu alitaka kuondoka mwenyewe,hayo mengine sikubishii lakini tangu lini kocha bongo akasema namtaka mchezaji fulani kalatewa?labda wa kibongo hawa wa milioni 30 kuna kipindi uchebe alimtaka Justin shonga wakaambiwa bei milioni 800 story iliishia hapohapo
Bongo kocha anasema nataka kiungo,beki,mshambuliaji analetewa yoyote ndiyo maana wanakuja ma free agents au cheap wa kutoka burundi ,kenya , congo zimbabwe zambia
Tunatofautiana, kwahiyo ungekua wewe ungeanza ubishi? Siyo kueleweshana?Hata ukimuelezea yote hayo sidhani kama atakuelewa mana wabongo ni wajuaji kuliko
Tuliza mshono basi hujapona vizuri ujue.Bado kumsajili CR7 tu.