Baada ya Crimea, matukio ya milipuko mingine yaibuka kambi za jeshi Urusi na Belarus

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
1660315066383.png

Nahisi kuna ujumbe unatumwa kwa Putin kwamba popote kambi na kinaweza kikanuka hata sebuleni kwake kiaina bila kombora kutumwa kutoka Ukraina.....kwamba humo humo jeshini kwake wenyewe kwa wenyewe wanaweza kuliamsha....

Military bases in Russia and Belarus were rocked by an outbreak in fires and explosions Thursday, just days after a Russian airbase in Crimea saw explosions that wiped out nine warplanes.

Russian media reported that a military housing unit was ablaze in a town outside of Moscow early Thursday but did not provide information on how the fire broke out.

The Directorate of the Ministry of Emergency Situations in the Moscow Region reportedly said the fire took more than 35 men to distinguish after they found smoke billowing from under the roof.

"The fire has now been extinguished, there is no information about the victims," one source told Russian state news agency Tass.

A Belarusian news agency similarly reported that were several explosions early Thursday at the Ziabrauka airfield in Belarus’ southern Gomel region which shares a border with Ukraine and where Belarusian troops have been checked for "combat readiness."

The Belarus Ministry of Defense said that some military equipment caught fire following a late Wednesday night inspection, reported Kyiv Independent.

An advisor to Belarusian opposition leader Sviatlana Tsikhanouskaya, took to Twitter to say that at least eight explosions took place near the airbase which is "used by Russian aviation in the war against Ukraine."

Continue re
 
Unadhalilisha Kenya kwa kuongezeka vichaa wengi kama wewe sababu tu ya mahaba niue ya pro NATO/UE & USA. Ushauri tumia ubongo/akili badala ya moyo/hisia/mahaba niue.
 
View attachment 2322062
Nahisi kuna ujumbe unatumwa kwa Putin kwamba popote kambi na kinaweza kikanuka hata sebuleni kwake kiaina bila kombora kutumwa kutoka Ukraina.....kwamba humo humo jeshini kwake wenyewe kwa wenyewe wanaweza kuliamsha....

Military bases in Russia and Belarus were rocked by an outbreak in fires and explosions Thursday, just days after a Russian airbase in Crimea saw explosions that wiped out nine warplanes.
Russian media reported that a military housing unit was ablaze in a town outside of Moscow early Thursday but did not provide information on how the fire broke out.

The Directorate of the Ministry of Emergency Situations in the Moscow Region reportedly said the fire took more than 35 men to distinguish after they found smoke billowing from under the roof.

"The fire has now been extinguished, there is no information about the victims," one source told Russian state news agency Tass.
A Belarusian news agency similarly reported that were several explosions early Thursday at the Ziabrauka airfield in Belarus’ southern Gomel region which shares a border with Ukraine and where Belarusian troops have been checked for "combat readiness."
The Belarus Ministry of Defense said that some military equipment caught fire following a late Wednesday night inspection, reported Kyiv Independent.
An advisor to Belarusian opposition leader Sviatlana Tsikhanouskaya, took to Twitter to say that at least eight explosions took place near the airbase which is "used by Russian aviation in the war against Ukraine."

Continue re
Mh
 
Attachments

  • f6f11adefc79490e8bf7c6276d1d908d~2.mp4
    103.7 KB
Unadhalilisha Kenya kwa kuongezeka vichaa wengi kama wewe sababu tu ya mahaba niue ya pro NATO/UE & USA.

Ushauri tumia ubongo/akili badala ya moyo/hisia/mahaba niue.
Kosa lake nini, kutoa habari ya hiyo misiba kwenye hizo nchi! Je angetoa taarifa kama hiyo kwa upande wa Ukraine pia ungemponda hivyo? Acheni unafiki, humu hatuna mipaka kila mtu ana haki ya kuandika habari yoyote aliyonayo.
 
Hahahaaa masikini Putin anapigwa putt kwenye mabonde ya mawazo yake finyu mpaka wayasawazishe.

Apa najua mpaka siku tatu zipite ndio tutajua vipi vimepotea. In fact lile shambulio la crimea ni moja ya mashambulizi bora kabisa kuwahi kutokea katika karne hii. Yaani ukipata nafasi kusikiliza jinsi lilivyopangwa na kutekelezwa, inafurahisha sana, kwanza walitingua Rada, alafu wakashusha mvua.
 
Nyie pigeni kelele tu sisi tunaendelea kusonga mbele.tunakaribia kuchukua mkoa wote wa MARIINKA [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
20220812_213247.jpeg
 
Back
Top Bottom