Baada ya Dar,Mwanza Mbeya ni namba tatu kwenye fursa za uchumi

Baada ya Dar,Mwanza Mbeya ni namba tatu kwenye fursa za uchumi

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
904
Reaction score
2,987
naifahamu Tanzania nzima kwa kufika maeneo mengi na kufanya biashara, Nimendesha Lori karibu kila sehemu ya nchi hii nimefika , na Mimi ukitoa mengine yote ninaposafiri huwa nasoma fursa za kiuchumi za maeneo husika. Hili limenifanya nijifunze hili ukitoa jiji La Dar, na mwanza ambayo yana fursa sana kiuchumi , mbeya ni sehemu nyingine Ina fursa sana kiuchumi tena mkoa mzima na wilaya zake ,unaweza ukafanya kilimo cha mazao karibu yote na ufugaji wa aina yoyote( ila huwezi Lima mwani) unaweza Fanya biashara za aina yoyote hata za utalii mbeya, kwa nini mbeya sababu ni 1. Hali ya hewa ipo to faut kati ya sehemu, 2.geographical location ya mbeya ni njia panda ya sehemu nyingi Malawi, Zambia, Congo nk. 3. Population ya watu ni moderate kiasi kwamba ni rahisi kupata mtaji na kuanzisha project 4. Gharama za maisha zipo chini kulinganishanna na sehemu nyingi hili tofauti sana na mikoa kama arusha,Dodoma, tanga nk , 5. Culture mbeya wanakupokea sawa na dar tu,
na mikoa mingine yenye fursa sana Tanzania ni ruvuma, rukwa, katavi, songwe, njombe , na iringa kiufupi fursa zipo nyanda za huu kusini , vijana kimbilieni huko achana na stori za Tabora, singida, mtwara, Lindi nk. Ila kwa mpangilio wa mji mbeya bado Sana hali ni mbaya
 
Kwa Iringa na Mbeya nakubaliana na wewe ile mikoa wanalima Balaa kama Iringa ni hatari karibu Kila zao linakubali miti,mahindi,mpunga,mapapai,nyanya,vitunguu nk
 
Back
Top Bottom